Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,219
- 71,846
Ni hatari yaniKaa naye vizuri huyo ana chembe chembe za uchawi...
Ni hatari yaniKaa naye vizuri huyo ana chembe chembe za uchawi...
Una asili ya kichawi na kishirikina na roho mbaya.😂😂😂Habari za muda huu wana JF.
Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka.
Hii hali imekuwa inanishangaza sana.
Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha.
So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata majibu tatizo ni nini?