Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Yaan mie kulia lia kisa mapenzi, huo mda cna.
Ntalia na kutafuta maokoto, sio nyege zinisumbue, akati wakataji wa nyege wako had wa mafunguu.
Nehiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaa.

Ukifunga ndoa utaacha huu mtazamo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaa! Uzuri wake naishi kwa kujijali mie kwani, sina mda wa kuhangaika na kiumbe chenye akili na utashi.

Yaan mie akiwa anatimiza kila kitu cha muhimu ndani, hata akitaka kuzamia huko nje up to yeye.

Sina mda wa kumfatilia mie, maana hata mie nikitaka kwenda nje nawezaa pia.
 
Wewe na Winnie Mandela lenu moja
 
Usiwahi kumsamehe mwanamke aliekusaliti
Makosa yanayo sameheka ni kuchelewa kupika na kuunguza mboga na mfano wa hayo.

Akikusaliti maana yake mapenzi yameisha kwako acha aende kwa amani na wewe ishi maisha yako kwa amani wala usimchukie au kuweka kisasi nae ila usifikirie hata siku moja kumrudia tena.
 
Naunga mkono hoja
 
Sasa si angechagua chaka lake moja la kujifichia kuliko kuwa na wengi
Kati ya wanaume wa winnie dali mpofu ndo alikuwa kinara , hata barua iliyodakwa na mzee mandela na iliyosababisha divorce ilikuwa ya winnie kwenda kwa dali,akimlaumu dali kwa kutomjali ilhali anajua kuwa. Hakuna mahusiano mazuri na mzee mandela
Wiinie alikuwa akimhonga dali expesive trips and vacations. Zikiiwemo concord trips kwa kutumia fedha za Anc
 
Back
Top Bottom