This is staged fairly tale......kama walikwenda miaka ya 1960-70 kwa nini leo hawana technolojia ya kwenda huko?
Technology ipo tatizo pesa ,kwa sasa safari moja inakadiriwa ku cost $ 110 bIllion au zaidi na pia hawana wa kushindana nae tena zamani walikuwa wanashindanisha nguvu na soviet ya kina yuri gagarin
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari
Hawakuwahi kufika mwezini ilikuwa fabricated story kama ccm walivyokujaga na gia ya babu wa loliondo ya kutibu magonjwa yote.
evidence kubwa ni kuwa jamaa waliacha reflectors kule mwenzini na kuna cordinates zao ambazo ukimulika na high power-laser na light sensor zina reflect mwanga.
kifupi ni kuwa jamaa wana evidence za kufika kule na ingekua poa kama unge search google ziko pointed na zilikua tested
Mambo ya dini yanatokea wapi tena hapa? Ama kweli nyie ndugu zetu mmelogwa. Sio bure. Yaani hakuna mnachowaza.
na mmelogwa pakubwa ninyi akina norkim kwa kuwamini wamarekani kwa kwenda mwezini kwani wanaubavu huo?mwezini mchezo kwani kuna ushoga kule.
...hata mimi simuamini Snowden wala eti wikileaks...naamini NSAUsiamini kila kitu unachoambiwa, hata ukiambiwa uproe utaishia kukimbia tu,.
Eti evidence ni youtube.
Next time be critical in whatever you see.
Inawezekana kweli hizo video zimetengenezewa Nevada au popote pale wanapojua wao ,kwa makosa Kama ya kuonekana kwa kopo la coca cola ,benderea kupepea na hiyo C mark kwenywe jiwe , The question is what if NASA deliraberately made that video to hide what they truly know ????
Ninacho amini mimi hawa jamaa wanakwenda space tu, lakini mwezini hawajafika wala hawato fika.
Im a computer science expert. And i can say Kulikuwa na uwezekano. Ingawa haukuwa as easy as it is now. Well, to be honest im also not 100% sure that it happened. Lakini najaribu kuhoji tu kwamba, kwa evidences za u-fake zinazotajwa, mbona kama ni too reckless not to be seen by NASA themselves. Mfano, chupa ya coke, imewezaje wasione kosa hilo wakiwa wana-shoot that video kama kweli wali-just shoot?... Ingawa siwezi kuthibitisha hili, naona kama hawa conspiracy theorists wamestage this. I mean if you cant trust NASA for that, why would you trust these theorist people? How would you know if thats the real and original video?...