Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

Mnatuchanganya aisee
ili kuvunja mzizi wa fitina hao NASA kwanini wasiende tena hapo mwezini watoe na evidence kamili ili kuondoa hii migongano ya mawazo?
 
Hakuna watu nisiowapenda kama wanaokataa NASA kwenda mwezini, conspiracy theorists hawafundishiki! Hizo sio facts ni speculation zisizo na msingi, kama unataka angalia kipindi cha Myth Busters kuna episode ya kujibu hizo conspiracy za mwezini.

Kaka kuna watu humu hawajui unamaanisha nini unaposema CONSPIRACY THEORY, wanahitaji ufaanunuzi juu y hii kanuni ya ushawishi
 
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari

Hili ndilo jambo nimeeleza sasa hivi. Warusi wameuteka mwezi. They have bases on the near side and on the far side of the moon. Warusi wametua on the moon unannounced in 1979. They have manned bases armed with particle beam weapons,na hakiruki kitu kutoka ardhini bila ruhusa ya Warusi. Wamarekani walitua mwezini mara mbili halafu sasa wamezuiwa.
 
Hakuna watu nisiowapenda kama wanaokataa NASA kwenda mwezini, conspiracy theorists hawafundishiki! Hizo sio facts ni speculation zisizo na msingi, kama unataka angalia kipindi cha Myth Busters kuna episode ya kujibu hizo conspiracy za mwezini.

Wewe umekua brainwashed Hakuna binadamu aliefika mwezini.hao mythbusters nao ni "agents" wa hiyo propaganda.
 
Hili ndilo jambo nimeeleza sasa hivi. Warusi wameuteka mwezi. They have bases on the near side and on the far side of the moon. Warusi wametua on the moon unannounced in 1979. They have manned bases armed with particle beam weapons,na hakiruki kitu kutoka ardhini bila ruhusa ya Warusi. Wamarekani walitua mwezini mara mbili halafu sasa wamezuiwa.
Mkuu sijakusoma bado hebu nifafanulie
 
I dont think so...teknology hawana....wao wenyewe wanaogopa. Lunar controlls climate and weather on earth, achilia mbali gravitational force na majira....kumbuka pia inareflect miali mikali ya jua na kuipoza inapotua duniani inakuwa haina ukali....wao si wajinga. Huko nyuma walimrusha roho mrusi leo hata wapewe hizo $110 hakuna astronaut atakayekubali kutia timu mwezini...Hujiulizi kwa nini wanang'angania kwenda sayari zingine lakini mwezini hawaendi....?

Mwezi si sayari, it is another thing perhaps dangerous.

Hapo kwenye red, nina mashaka ulichoandika hukijui?
 
mada kama hizi ilitakiwa mtu kama Monstgala aka Mgalanjuka abarizi.sijui kapotelea wapi yule jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red, nina mashaka ulichoandika hukijui?

lazima usielewe kwa sababu ya uzito wako wa kuwaza.....it is said mwezi hureflet mwanga wa jua kuja duniani. Think of global earth na position ya mwezi na jua, then think critically...if you cant, dont comment anything
 
Sababu za NASA kutokwenda mwezini ni hizi hapa :
1.vyanzo vingi vya mwanga.
Tujuavyo mwezini source ya light ni moja nayo ni jua,kwa maana hiyo kivuli cha vitu vyote kitakuwa upande mmoja,ukiangalia kwenye picha hapo chini utaona aina tofauti za mwelekeo wa vivuli hii ianonesha kwamba the video might have shot somewhere.
MoonLightingDiscrepancy1.jpg

2.The van Allen radiation belt.
hii ni mionzi hatari sana ambayo inauwezo wa kuyeyusha hata aluminium,swali la kujiuliza ni je hawa jamaa wa NASA walivuka vipi hapa?
belt.jpg

3.Bendera inayopepea,jamaa wa NASA anaonekana amesimama pembeni mwa bendera inayopepea,swali la kujiuliza ikiwa kwenye mwezi hakuna hewa,je bendera iliwezaje kupepea?
flag-waving-moon-landing_9803_600x450.jpg


4.vitu visivyoelezeka:
ukiangalia kwenye picha hapo chini kwenye helment ya astrounant utaona reflectio ya kitu kinachohang hewani kikiwa kimeshikiliwa kama na kamba hivi,hii ianonesha jinsi gani hawa jamaa walikua wanarekodi
moon-stuff012.jpg

5.kwenye picha hakuna nyota:
ukiangalia kwenye picha zao eti hakuna nyota wakati kila mtu anajua kwamba kwa umbali huo nyota zitakua kedekede.
a16_11446551.jpg

6.Alama ya "C" kwenye muamba wa mwezini:
hii inaonesha jinsi gani wapiga picha walivyokuwa wanaweka alama zao kwa ajili ya ku-shoot,wenyewe walipoulizwa walikosa majibu.
c-rock-actual-c.jpg

7................n.k.

Uhhh nothing to say
 
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari

Kama ni kweli NASA hawakwenda mwezini basi Warusi na Wachina ndio wangekuwa wa kwanza kubisha hicho kitu kwani na wao mambo ya anga wako juu sana na wana Technology ya kuwachallenge wamarekani. Hii ni kama ile ya watu wanaodai Dunia sio kama tufe ila ni kama kisahani , sasa linapokuja suala la kuthibitisha utaona jinsi wanavyo jigongagonga.
Kuna mpaka watu wanaobisha kuwa hakuna kitu kama Satellite huko angani na ni NASA wanatudanganya! Sasa mpira kama unafanyika Brazil huku Africa na Asia tunauonaje? Nyungo zenu za DSTV na Azam TV zinadaka mvua?
 
watu tunabishana kweli, usiniulize nilikopata hizi habari! ukweli ni kwamba NASA walienda mwezini ila sio ile safari ya kwanza! safari ya kwanza waliipika kule nevada kwa lengo la kuwashinda warusi kwenye kile kilichoitwa 'spesi resing' .kumbuka warusi walikuwa wa kwanza kurusha chombo angani (sputnik) NASA wakaenda mara ya pili ambayo ndio ya KWANZA na ya kiukweli. ndio maana kuna huu ubishi. walienda mwezini lakini sio ile safari inayoshabikiwa na picha za kutengeneza. safari nyingine za apollo zilikuwa za kweli!!! ndio walifika mwezini
 
Uislamu na NASA kuna uhusiano gani? Akina Armstrong walipotua mwezini masheikh walibidha eti mwezi ni mtakatifu binadamu hawezi kuukanyaga.
 
Samahani kama niko nje ya Mada..je vipi story za Yuri Gagarin wa Urusi??? Alifika mwezini au chenga tupu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom