Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,933
- 13,944
Concorde vipo kwenye mpango wa kurudishwa tena kazin kama zamanNadhani lengo la USA kwenda mwezini ilikuwa ni kushinda tu space race. Kwamba kwa kuwa Warusi wamekuwa wa kwanza kwenda angani basi sisi twende ambako hawajafika.
Ikumbukwe pia dunia iliwahi kuwa na supersonic passenger plane ila leo hatuna. Kwa hiyo tuconclude kwamba hakukuwahi kuwa na Tupolev Tu-144 au Concorde kisa leo hazipo na hamna ndege ya ku achieve supersonic speed?