I can't believe you believe it...Ingia YouTube kuna clips kibao za documentaries kwamba ni uongo uliopikwa vizuri miaka hiyo, hakuna aliyewahi kufika mwezini, watakuonesha hata ufeki wa zile video za NASA
Dhibitisha..Bcz it was the biggest hoax
Zama za cold war
Au nidhibitishe au NITHIBITISHE?.Dhibitisha..
hahaha unaonaje ukajibu nilichokuuliza kwanza then unauliza...Au nidhibitishe au NITHIBITISHE?.
Kwa hiyo mwezini kuna upepo mpaka bendera ipepee kwa upepo?Exactly!... Na kama ni wali-stage everything, watu hawajiulizi katika uongo mkubwa kama huo, waliwezaje kushindwa kuzuia loopholes kama upepo na chupa ya cocacola?. I dont think walikuwa too stupid to notice that when they were allegedly 'shooting' that video.
Ahaha naomba link mkuuNi kweli, tangu lini bendera imapepea mahala ambako hakuna hewa? Pia nasikia kwenye video clip zao kulionekana kopo la Coca-Cola mchangani. Mambo ya Nevada hayo!
I can't believe he did it either!.I can't believe you believe it...
Ndugu,Ni kweli, tangu lini bendera imapepea mahala ambako hakuna hewa? Pia nasikia kwenye video clip zao kulionekana kopo la Coca-Cola mchangani. Mambo ya Nevada hayo!
Ziko wapi mkuu?Kwahiyo unataka tuamini kwamba NASA walipeleka mwanadamu mwezini?
Kuna video 3 nimeweka hapo juu kutoka Youtube. Angalia! Kama hautoziamini hizo basi tena. Yaani hao walisadikiwa kwenda mwezini wanaulizia TV sets zipo teyari? Talk? Prototype ya mwezini na space shuttle data simulator, n.k.
Swali la kizushi: mwaka 1969 walipita kwenye ukanda wenye mionzi ya sumu inakuwaje miaka 30 baadae watangaze kwamba wanaogopa kupeleka watu juu kwani ule ukabda ni tishio? Walipitaje mwaka ule?
P. S. If you can't make it fake it!