ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,491
- 2,477
Baada ya kwenda waliambiwa "don't ever come back, or else your country will be in trouble"
Mh!! Cana cha kuongeza
Baada ya kwenda waliambiwa "don't ever come back, or else your country will be in trouble"
YouTube kwa maana ya kwamba documentaries zimekuwa uploaded pale, not amateur stuff, crews walioenda 'mwezini' wamehojiwa hakuna aliyetoa majibu kutokana na evidence waliyopewa.
What i wish in life is to see life in the other planets.
Usiamini kila kitu unachoambiwa, hata ukiambiwa uproe utaishia kukimbia tu,.
Eti evidence ni youtube.
Next time be critical in whatever you see.
Kuna waafrika wajinga humu Duniani, sijapata ona!
Usiamini kila kitu unachoambiwa, hata ukiambiwa uproe utaishia kukimbia tu,.
Eti evidence ni youtube.
Next time be critical in whatever you see.
Hakuna haja ya kurudi mwezini kisayansi, hivyo hakuna sababu ya kuhatarisha maisha ya watu. NASA walitua mwezini mara 6 kati ya 1969 na 1972.
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze tafadhari
Exactly!... Na kama ni wali-stage everything, watu hawajiulizi katika uongo mkubwa kama huo, waliwezaje kushindwa kuzuia loopholes kama upepo na chupa ya cocacola?. I dont think walikuwa too stupid to notice that when they were allegedly 'shooting' that video.
Kwahiyo unataka tuamini kwamba NASA walipeleka mwanadamu mwezini?
Kuna video 3 nimeweka hapo juu kutoka Youtube. Angalia! Kama hautoziamini hizo basi tena. Yaani hao walisadikiwa kwenda mwezini wanaulizia TV sets zipo teyari? Talk? Prototype ya mwezini na space shuttle data simulator, n.k.
Swali la kizushi: mwaka 1969 walipita kwenye ukanda wenye mionzi ya sumu inakuwaje miaka 30 baadae watangaze kwamba wanaogopa kupeleka watu juu kwani ule ukabda ni tishio? Walipitaje mwaka ule?
P. S. If you can't make it fake it!
Hawakupika kila kitu! Launching of the space shuttle was genuine. It is believed that the shuttle didnt go to the moon instead they were orbiting somewhere around the for a couple of days (throughout the entire mission). All communications pretending on their way to the moon were staged (pre recorded). A video on this was leaked/exposed.
Quality of the video feed were distorted deliberately.
Landing on the moon was staged.
You judge.
Wewe mbona umeamini ulichoambiwa na NASA? And I don't have to prove anything. Your advice you can keep it for yourself.
Bulldog, mi naamini kabisa kuna life in other planets far beyond our technology reach. Mfano, angalia documentaries za Pleadians from the Ryra star system
mkuu katika kila uongo kuna ignorance....!! uongo mkubwa lazima uwe na mpenyo wa kukudhalilisha.
Kwahiyo unataka tuamini kwamba NASA walipeleka mwanadamu mwezini?
Kuna video 3 nimeweka hapo juu kutoka Youtube. Angalia! Kama hautoziamini hizo basi tena. Yaani hao walisadikiwa kwenda mwezini wanaulizia TV sets zipo teyari? Talk? Prototype ya mwezini na space shuttle data simulator, n.k.
Swali la kizushi: mwaka 1969 walipita kwenye ukanda wenye mionzi ya sumu inakuwaje miaka 30 baadae watangaze kwamba wanaogopa kupeleka watu juu kwani ule ukabda ni tishio? Walipitaje mwaka ule?
P. S. If you can't make it fake it!
Hawakupika kila kitu! Launching of the space shuttle was genuine. It is believed that the shuttle didnt go to the moon instead they were orbiting somewhere around the for a couple of days (throughout the entire mission). All communications pretending on their way to the moon were staged (pre recorded). A video on this was leaked/exposed.
Quality of the video feed were distorted deliberately.
Landing on the moon was staged.
You judge.
Sawa... Lakini nauona upenyo huo kuwa ni too ignorant to be true. Yaani upenyo ni wa kizembe sana, hadi inakuwa ngumu kuamini