Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Nilisikia hawa jamaa ni waongo kuhusu hiyo kitu ya kwenda mwezini
Nilisikia hawa jamaa ni waongo kuhusu hiyo kitu ya kwenda mwezini
Exactly!... Na kama ni wali-stage everything, watu hawajiulizi katika uongo mkubwa kama huo, waliwezaje kushindwa kuzuia loopholes kama upepo na chupa ya cocacola?. I dont think walikuwa too stupid to notice that when they were allegedly 'shooting' that video.
Mkuu unaamini kabisa kwa teknolojia ya miaka ya 60 kulikuwa na uwezekano wa kupata picha live moja kwa moja toka mwezini yapata kilometa laki nne?
Mkuu usiwe mjinga kufuata mkumbo? Unajua ni Kina nani walioleta hii theory ya NASA kutokufika mwezini? Unajua kuna wenzetu kwa mujibu wa dini zao wanaamini ile ni sehemu takatifu ambayo binadamu hawezi kwenda? Akili za kuambiwa changanya na zako.
Ningefurahi kama kiraia usingeweka neno "MJINGA" maana post yangu imeanza na neno "NILISIKIA" kwa mantiki sina uhakika na hilo. So what the issue ku-come up na conclusion ya mjinga?
Sijasema wewe ni mjinga ila nimesema usiwe mjinga kwa kufuata mkumbo, nikimaanisha ukiwaamini hao nawe utakua mjinga kama wao.
Ingia YouTube kuna clips kibao za documentaries kwamba ni uongo uliopikwa vizuri miaka hiyo, hakuna aliyewahi kufika mwezini, watakuonesha hata ufeki wa zile video za NASA
There are so many things about the Universe and the gallaxy tunafichwa na governments hasa USA na Rassia. They have a lot going on in the sky. May be China will tell the truth someday
Kwanini uwaamini youtube na sio NASA??
How credible is youtube compared to NASA??
NASA bado wanaenda mwezini kama kawa na kulikuwa na appolo 19 na 20 na appolo 20 ilirudi na miili ya some aliens walioyoikuta huko. The problem is kuna aliens huko na wanamitambo yao ndo maana at some point Astronauts wanaogopa ogopa kwenda. According to my view.
Kaka ile ilikuwa ni uongo, kuna documentary moja ya BBC uingereza ilionesha facts jinsi isivyokuwa kweli. Ile walioonesha waliiandaa marekani na eneo walofanyia hiyo movie ni sealed hakuna ruksa kuingia
Exactly!... Na kama ni wali-stage everything, watu hawajiulizi katika uongo mkubwa kama huo, waliwezaje kushindwa kuzuia loopholes kama upepo na chupa ya cocacola?. I dont think walikuwa too stupid to notice that when they were allegedly 'shooting' that video.