Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli.

Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine anakupa tu ili usijisikie vibaya au usimuache, etc,

Lakini all in all hakuna mapenzi bora pale mtakapo kutana wote mko katika appetite lakinio ndio hivi kwa bahati mbaya its very rare kwa maana hata mwanamke akiwa na appetite hawezi kukuambia.
View attachment 3293345
huo utafiti uliufanya lini?
 
Hamu ya mwanamke inakuwa tiggered na pesa, toa pesa ya uhakika uone, kila wakati ana hamu.
 
Unapigwa matukio Ila umeng'ang'ania 😁😁

Sema hizo ni love stories za kipindi flani. Huku ukubwani tunakutana wote tushapigwa matukio kwa hiyo kila mtu anapenda kwa tahadhari. Kwa sababu ukijaa kwenye mfumo umeisha
Yani kama ruba Kila mtu akikutema umo tu 😀😀😂ndo maana wanaume wanafumaniwa sana sio kwamba hatuoni red flag bas tu unamganda mtu had Kero mwisho had unamfuma na chakalake jipya lkn Bado😀😀
 
Hakika mkuu wanawaake wako reserved.

😂😂

Uko vizuri mzee anzisha podcast ya mahusiano tukusupport
Hata jf tu huwa sicomment sana kwenye hizi shida maana najua issue za hisia haizihitaji akili. Unasema A, Ila ukibananishwa, unaishi kwenye mfumo B

Kuhusu podcast unataka unijaze mwisho ife ikiwa na 40 listeners 😁
 
Watu wanashindwa kutofautisha mapenzi na ngono. Tendo ni hilo hilo, ila utofauti uko ktk utayari wa wafanyaji.

Ngono hii yoyote anafanya, ila mapenzi wanafanya wale wenye hisia tyuuh.

Haijalishi jinsia.
 
Hata jf tu huwa sicomment sana kwenye hizi shida maana najua issue za hisia haizihitaji akili. Unasema A, Ila ukibananishwa, unaishi kwenye mfumo B

Kuhusu podcast unataka unijaze mwisho ife ikiwa na 40 listeners 😁
Bongo nyoso mkuu😂😂
 
Yani kama ruba Kila mtu akikutema umo tu 😀😀😂ndo maana wanaume wanafumaniwa sana sio kwamba hatuoni red flag bas tu unamganda mtu had Kero mwisho had unamfuma na chakalake jipya lkn Bado😀😀
Yeah wanawake huwa mna strong instincts na mnajua kufuatilia details kiasi ukiona hata kifungo cha shati kimefungwa tofauti na utaratibu, unajua kuna namna.

Ila huwa nawaambia watu tu, usimchunguze sana mtu kama haupo tayari kumuacha maana wengi huwa naona wanaishia kuteseka tu na pengine kuomba msamaha wakati wao ndio wamekosewa
 
Ni issue ya hormones tu hata hao wanaume Kuna wengine wako kama hao wanawake uliowaelezea .

Pia Kuna wanawake wanapenda mashine balaa hasa wale kutoka dini ya munyaazi ila akiwa kwenye ndoa
Etiii😄😄😄😄😄😄😄
 
Yeah wanawake huwa mna strong instincts na mnajua kufuatilia details kiasi ukiona hata kifungo cha shati kimefungwa tofauti na utaratibu, unajua kuna namna.

Ila huwa nawaambia watu tu, usimchunguze sana mtu kama haupo tayari kumuacha maana wengi huwa naona wanaishia kuteseka tu na pengine kuomba msamaha wakati wao ndio wamekosewa
Ni kweli kabisa yaani ni wafatiliaji sana ila kuwa ving'ang'aniz ili halikwepeki utakuta na Bado utalia na utakaa hapo hapo 😀😀😀
 
Sio kweli, wanawake wanapenda sana ngono kama wanaume tu.

Labda iwe haujapata anayekuelewa. Ni wasumbufu kuomba game

Wanapenda ngono ila hawapendi kuizingumzia sana kama wanaume
 
Mm wangu nampenda bhana Weee 😃
Kwenye Maisha Yangu mpaka nitaingia kaburini, siamini ktk Upendo wa mwanamke.
Mwanamke anachoita Upendo ni kwa kua unamtimizia mahitaji yake,
Alichoweka kipaumbele mwanamke ni Faida anazozipata kupitia Mwanaume huo ndio Upendo, mwanamke atasema anakupenda aendapo utamtimizia mahitaji yake.
Siku utakapokua hauna uwezo wa kumtimizia mwanamke mahitaji yake ndo utaijua Rangi halisi ya mwanamke.
Note hii kauli " Mi nataka mwaume anaenihudumia", so Upendo wa mwanamke upo kwenye Kuhudumiwa.... Hii ni kauli kubwa kwa wanawake wote.
 
Back
Top Bottom