Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

Mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume kingono. Kwenye suala la sex, kuliko mume kuchepuka na kubomoa familia, suluhisho la busara zaidi ni mwanaume kuoa wake wengi.
 
Kwenye Maisha Yangu mpaka nitaingia kaburini, siamini ktk Upendo wa mwanamke.
Mwanamke anachoita Upendo ni kwa kua unamtimizia mahitaji yake,
Alichoweke kipaumbele mwanamke nu Faida anazozipata kupitia Mwanamke huo ndio Upendo, mwanamke atasema anakupenda aendapo utamtimizia mahitaji yake.
Siku utakapokua hauna uwezo wa kumtimizia mwanamke mahitaji yake ndo utaijua Rangi halisi ya mwanamke.
Note hii kauli " Mi nataka mwaume anenihudumia", so Upendo mwanamke upo kwenye Kuhudumiwa.
Mkuu mapenz sio huduma na hisia pia.
Kwangu kudate na mtu simfeel siwez kabisa na hata akiwa ananipendaa kias ni ngumu

Pesa zinanogesha penzi pia ukweli usemwe Sasa mtu anatak chungwa ndo huna hata mia kweli 😃lakn sio kigezo Cha kufanya mtu apendwe au asipendwe

Wakat mwingine mapenz ni namna unavomtreat mtu anavojifeel Yuko sehemu salama anaapokuwanna wewe hapa ndio maana watu wenye pesa wanasalitiwa pia
 
Mkuu mapenz sio huduma na hisia pia.
Kwangu kudate na mtu simfeel siwez kabisa na hata akiwa ananipendaa kias ni ngumu

Pesa zinanogesha penzi pia ukweli usemwe Sasa mtu anatak chungwa ndo huna hata mia kweli 😃lakn sio kigezo Cha kufanya mtu apendwe au asipendwe

Wakat mwingine mapenz ni namna unavomtreat mtu anavojifeel Yuko sehemu salama anaapokuwanna wewe hapa ndio maana watu wenye pesa wanasalitiwa pia
Huo ni mtazamo wangu, na ninavyoamini ktk akili yangu.
Mwanamke atesema anakupenda endapo utamtimizia mahitaji yake na Vipaumbele vyake, Binafsi yangu huwa siamini ktk Upendo wa Mwanamke, Bora ya mbwa au Ng'ombe mnyama hata mbuzi, kuku, kondoo anaweza akukupenda Bila kumpa kitu, ila sio mwanamke.
 
Huo ni mtazamo wangu, na ninavyoamini ktk akili yako.
Mwanamke atesema anakupenda endapo utamtimizia mahitaji yake na Vipaumbele vyake, Binafsi yangu huwa siamini ktk Upendo wa Mwanamke, Bora ya mbwa au Ng'ombe mnyama hata mbuzi kuku, kondoo anaweza akukupenda Bila kumpa kitu, ila sio mwanamke.
Tumefikia kuona kondoo ni Bora kuliko sisi mkuu 😃
 
Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli.

Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine anakupa tu ili usijisikie vibaya au usimuache, etc,

Lakini all in all hakuna mapenzi bora pale mtakapo kutana wote mko katika appetite lakinio ndio hivi kwa bahati mbaya its very rare kwa maana hata mwanamke akiwa na appetite hawezi kukuambia.
View attachment 3293345
Hii picha uliichukua kwenye chanzo kipi, mbonajamaa kama anabaka?
 
Unaweza ukawa na upwiru na usienjoy mapenzi kama uko na mtu ambaye humfeel
Sasa na feelings nazo zimeachana pia.

Mi hisia zangu huamshwa kiushindani na vurugu.

Yaani nipate mwanamke maringo maringo, natongoza ananijibu nyodo na kuntolea nje.

Huyo nikimpata hisia zangu zinapanda maradufu kuliko ninayempata mstaarabu bila jasho.
 
Back
Top Bottom