Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

wanawake wamekuzwa kuwa wawindwaji ndio maana ni nadra kutongoza au kufanya first move kwenye sex.

Lakini kikubwa zaidi huwa hawachukulii sex kuwa ni kigezo cha mahusiano maana wanaangalia security na uwezo wa mwanaume kumuwezesha. Ndio maana wengi tu wana wanaume wasiowapenda au kuwavutia kingono kwa sababu ya maslahi. Sasa mtu wa hivi atakuwaje na demand na wewe kama alikukubalia kwa sababu tofauti na wewe kumvutia sexually

Kwa hiyo ni issue tu ya social setting
 
AHSANTE MKUU

HII iko LOGICAL AT MOST
 
Basi alifanya vyema πŸ˜‚

Na hii sio wewe tu, wadada wengi huwa ni wazito kumwambia mkaka kuwa anataka mchezo hata kama ameumiss balaa,.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mm nilikuwa sisemi karibia mwaka wa 5 sijawah kuwa na mahusiano na mtu tupo karibu yote ni long distance nashukuru nakuwa na utulivu kiasi japo ni ngumu aisee

siku mtu akija majirani wanachungulia wanasema eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanawake wamekuzwa kuwa wawindwaji ndio maana ni nadra kutongoza au kufanya first move kwenye sex.

Lakini kikubwa zaidi huwa hawachukulii sex kuwa ni kigezo cha mahusiano maana wanaangalia security na uwezo wa mwanaume kumuwezesha. Ndio maana wengi tu wana wanaume wasiowapenda au kuwavutia kingono kwa sababu ya maslahi. Sasa mtu wa hivi atakuwaje na demand na wewe kama alikukubalia kwa sababu tofauti na wewe kumvutia sexually

Kwa hiyo ni issue tu ya social setting
Ni sahihi mkuu ila tukihamisha mind kutoka kwenye materials kuja kwenye hisia sis ni next level na ndio maana mwanamke akishapenda ngumu kuacha ving'ang'aniz sis balaaπŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ”¨
 
Huo ni mtazamo wako mkuu. Hujawahi kukutana na mwanamke anayekupenda anataka kila mda 🀣
Usiombe ukutane na demu anaependa ktmbn.

Nilikuaga na kidemu kizuuuri kweli cheupeeee, macho yake Kama ya paka dizain flan, kilikua kinapenda show ile kinoma noma.

Ukirudi kutoka job kula ni lazima, usiku kabla ya kulala, kula ni lazima, na wakati mwingine, chuma inatakiwa kulala ndani ya parking

Unaeza kushtuka hata saa nane usiku unakikuta kimeshashika mic kinaanza rap.

Mwanzo nilikua nainjoy sana sababu kilikua kizuuri halafu kimenipenda chenyewe ila baada ya miezi nikawa hoi, yaani hata nikisimama sehemu naongea na mtu lazima mikono ishike kiuno kama support (yule mtoto alinigeuzaga sex mashine)
 
Huyu sio realMamy kweli??😁
 
AHSANTE MKUU

HII iko LOGICAL AT MOST
Pamoja mkuu...

Japo Mimi sio expert wa hizi shida 😁. Lakini kila mwanaume ana yule mwanamke ambaye ni real kwake. Yani anampenda yeye kama yeye, sasa fikiria mwanamke wa aina hii kama unaye ni mara ngapi amekuonesha au kukutamkia anakuhitaji sexually ?...

Hiyo frequency ndio uhalisia kuliko huku kwingine ambapo maslahi yanazingatiwa. Japo sibishi binadamu tumetofautiana sex drive na hii ipo kwa jinsia zote. Sema kwa wanaume huwa tunaona ni sifa kuyaongelea Ila wanawake huwa reserved.
 
Usiombe ukutane na demu anaependa ktmbn.

Nilikuaga na kidemu kizuuuri kweli cheupeeee, macho yake Kama ya paka dizain flan, kilikua kinapenda show ile kinoma noma.

Ukirudi kutoka job kula ni lazima, usiku kabla ya kulala, kula ni lazima, na wakati mwingine, chuma inatakiwa kulala ndani ya parking

Unaeza kushtuka hata saa nane usiku unakikuta kimeshashika mic kinaanza rap.

Mwanzo nilikua nainjoy sana sababu kilikua kizuuri halafu kimenipenda chenyewe ila baada ya miezi nikawa hoi, yaani hata nikisimama sehemu naongea na mtu lazima mikono ishike kiuno kama support (yule mtoto alinigeuzaga sex mashine)
Huyo ana pepo sio Bure πŸ˜ƒ
 
Hakika mkuu wanawaake wako reserved.

πŸ˜‚πŸ˜‚

Uko vizuri mzee anzisha podcast ya mahusiano tukusupport
Pamoja mkuu...

Japo Mimi sio expert wa hizi shida 😁. Lakini kila mwanaume ana yule mwanamke ambaye ni real kwake. Yani anampenda yeye kama yeye, sasa fikiria mwanamke wa aina hii kama unaye ni mara ngapi amekuonesha au kukutamkia anakuhitaji sexually ?...

Hiyo frequency ndio uhalisia kuliko huku kwingine ambapo maslahi yanazingatiwa. Japo sibishi binadamu tumetofautiana sex drive na hii ipo kwa jinsia zote. Sema kwa wanaume huwa tunaona ni sifa kuyaongelea Ila wanawake huwa reserved.
 
Ni sahihi mkuu ila tukihamisha mind kutoka kwenye materials kuja kwenye hisia sis ni next level na ndio maana mwanamke akishapenda ngumu kuacha ving'ang'aniz sis balaaπŸ˜€πŸ˜€

Unapigwa matukio Ila umeng'ang'ania 😁😁

Sema hizo ni love stories za kipindi flani. Huku ukubwani tunakutana wote tushapigwa matukio kwa hiyo kila mtu anapenda kwa tahadhari. Kwa sababu ukijaa kwenye mfumo umeisha
 
Back
Top Bottom