Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,224
- 16,909
mada unaipa % ngapi kwa mujibu wa huko ulipoNanjilinji
mada unaipa % ngapi kwa mujibu wa huko ulipoNanjilinji
Yaani wewe unatuambia umewahi kuwa mwanaume na mwanamke pia?Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na utayari wa kweli.
Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine anakupa tu ili usijisikie vibaya au usimuache, etc,
Lakini all in all hakuna mapenzi bora pale mtakapo kutana wote mko katika appetite lakinio ndio hivi kwa bahati mbaya its very rare kwa maana hata mwanamke akiwa hawezi kukuambia.
😄 salamalekoHahaha,.
Sema uzuri wote huwa tunataka mda wote,. Kosa kubwa ni sisi wawili kuwa sehemu pekeyetu baaasi moto unawaka..
Maumbile na bailogia, is very defferent. Na si kwa wanafam tu hata wanyamaMwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na utayari wa kweli.
Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine anakupa tu ili usijisikie vibaya au usimuache, etc,
Lakini all in all hakuna mapenzi bora pale mtakapo kutana wote mko katika appetite lakinio ndio hivi kwa bahati mbaya its very rare kwa maana hata mwanamke akiwa hawezi kukuambia.
View attachment 3293345
Alekumsalam😄😄 salamaleko
ni 100 Kwa 100 aiseemada unaipa % ngapi kwa mujibu wa huko ulipo
unanifaa weweni 100 Kwa 100 aisee
Wanaume tuna enjoy kwanza kufeel kuna kuja baada ya upwiru kuisha, jiulizee vichaa wanatoa wapi mimba?Unaweza ukawa na upwiru na usienjoy mapenzi kama uko na mtu ambaye humfeel
Fafanua kidogo tuIla sio wa dar
😄😄😄😄Wanasemaga wanaume wa dar wanakula sana chipsFafanua kidogo tu
😂😂😂Nimecheka Umenikumbusha nilimiss mpenzawang nikawa naona aibu kumwambia nilikuwa na aibu sana rafikiyngu akaja analalamika mumew hajamgusa wiki mbili anahis anachepuka nikamwambia mm mbona sijakutana na mpenzwangu miez karibia 5 akasema unakichaa Lete simu akaandika sms moja kabambe akataka kusend nikampokonyasimu
😄😄😄 akaanza kunifundisha Jin's ya kujielezea now aah mashallah 😂😂😂
Exactly 💯Unaweza ukawa na upwiru na usienjoy mapenzi kama uko na mtu ambaye humfeel
Alikuwa mbali ni Yuko mbali muda wote sema now nimeacha aibu aibu navuta waya namwambia Kaa kwenye utulivu Nina jambo langu nanyoosha maelezo😂😂😂
Rafikiyangu tangu aolew ananifundisha ukauzu balaa 😀😀😀Hongera mkuu😂