Mi naona dini ndio imeleta maangamizi kwenye hii Dunia
1.Vita vya kidini(Jihad,Israel-palestine,Iran Vs USA,North vs South Sudan)
2.Utengano wa watu kisa dini (watu hawaoani kisa dini,Watu hawasalimiani kisa dini,Watu hawasalimiani kwenye shida kisa tofauti za kidini,mpaka misibani wengine hawafiki kisa dini)
3. Dictatorship kisa dini: System nyingi za kidini ni Dictatorship..Ukhalifa wa kina Muhammad na Umar ni udictator
Na Upapa ni udikteta (roman empire)
Dini inatawala Kwa mabavu, inafanya binadamu waishi kama jela kisa Imani za kidini, Saudia mtu anaogopa hata kusema Yesu anaweza kukatwa kichwa.
4.Mengineyo (Utumwa,ukandamizaji wa wanawake,Mauaji kisa dini,Ugaidi wa kidini,Usaliti,Unyang'anyi, nk. Nk )