Huwezi kuwa na muda bila kipimo?unachozungumza bado ni illusion tu wakati ni sasa future ni matazamio tu ambayo bado hayajatokea , muda unapata mantic kunapokua na mwanzo na mwsho , unaposema nitachemsha yai umeitengeneza future kichwan inaweza isitokee , ila unapochemsha yai ndo kitendo kinakua sio illusion , siku ni zile zile matukio ni yale yale nanapata mantic yanapotokea now ila ukiyazania bado inakua ni illusion , muda unapimwa na kipimo , bila muda kupimwa hakuna muda , mwanzo na mwisho nikipimo cha kwanza cha mda , Huwezi kupima uwepo wa Mungu kwa muda .
ila lazima atakuwepo yule Mungu wa kwetu sote...yule aliyetuumba dini zote na kabila zoteBabu nadhani bado uko shule! mie sikutishi ila natamka ukweli! ......wengi wamekufa mfano Suleiman Rushdie, anatafutwa auliwe, na zawadi NONO! itatolewa mpaka sasa IKO HIVO! ukiwa na ubavu kamsake!
ameponea chupuchupu juzi alipigwa Bisu huko Manhattan USA!........Narudia, hivi ktk hao Miungu niliyo itaja! wale wanao waabudu wanaamini wao wametokana na huyo mungu wao!
nikakupa mifano Osilis Mungu wa Wa Misri aliye pambana na wana wa Israel!...mungu Baal! aliwasaidia Wafilist kumtoboa macho Samsoni! na kweli alikufa kipofu yule jamaa! pamoja na maguvu yake!
piga ua galagaza hawakumjua mungu mwingine! hata leo! kuna watu wengi ukiwamo weye unaamini mungu Mzungu huyo! Wao wazungu wanajua ndo kaumba watu wooote, waafrica wahindi nk!
sasa wewe/na wenzako ndo mtwambiye mungu wenu alivo! make baadhi yetu sisi hatumjui......
Mungu aliyetuumba binadamu wote na kuumba ulimwengu woteMtoa mada kabla ya kujibu swali lako, ningependa kwanza nifahamu swali lako la "Kwanini mungu yupo?" Unifahamishe.
Unaposema kwanini mungu yupo, Je unamaanisha mungu yupi?
Kama ilivyo kwako purpose ya kuwepo kwako duniani,kwann iwe duniani na usiwe kwenye sayari zingineSawa, Je Mungu ana Purpose Gani ya yeye kuwepo?
Yeye ndie ameviumba viumbe vingine hivyoSasa kama sio viumbe ndio wamemfanya Mungu awepo, Je sababu ni nini?
Ndo ipi Sasa hiyo purpose? Mbona mnazunguka zunguka TU halafu hamsemi?Kama ilivyo kwako purpose ya kuwepo kwako duniani,kwann iwe duniani na usiwe kwenye sayari zingine
😂Kina nani?Mungu kaumba ulimwengu lakini wanaondesha ulimwengu ni watu wengine kabisa![]()
Aaah hizo ni conspiracy theories Sasa😂😂Soma kitabu cha New world order mkuu![]()
Kule kuna baadhi ya mbanga zilitabiriwa na zinatokea sasa hivi. Huu ulimwengu bana kuna watasha wanaujua vizuri tu sisi yetu machoAaah hizo ni conspiracy theories Sasa![]()


Nakupa kingine tena soma MORALS AND DOGMA.Hapana Mkuu, alafu sikia na ujue hakuna kitu ''mbingu'', hiyo ni yako!! pili mie siyo Mlinzi...bali Mungu Mwana Mfalme! ndo cheo changu amini nakwambia!!Wewe ndo mlinzi wa mbinguni?😂
Kasome kisa cha Esau Mungu alimchukia waziiiii.......sasa jiulize Mungu anaweza kuchukia Mwanae??...na kizazi cha Esau kipo Duniani mpaka napoongea na wewe sasa hivi!ila lazima atakuwepo yule Mungu wa kwetu sote...yule aliyetuumba dini zote na kabila zote
God the creator-is who I'm talking about
Nakuabudu....Mungu wanguu...Eehh Mungu naomba unibariki. Usiponibariki ntaenda kucheki Kwa Mungu wa mwamposa, akishindwa ntaenda Kwa Mungu wa Waislam.Hapan
Hapana Mkuu, alafu sikia na ujue hakuna kitu ''mbingu'', hiyo ni yako!! pili mie siyo Mlinzi...bali Mungu Mwana Mfalme! ndo cheo changu amini nakwambia!!
Hapana...Hatuitaji kuamini Mungu ili kujenga mahusiano. Mungu Hana haja ya kuaminiwa ili binadamu tuendelee.mtazunguka weeee lakini mtarudi pale pale tu kuwa Mungu ni jina wakilishi la ukomo wa utambuzi na ufahamu!
Mungu ni wema kama ilivyo shetani ni ubaya!
Hata huo Wema na ubaya hutofautiana kulingana nini wahusika wamekubaliana kama sheria dunia.
Ndio maana tunatofautiana wapi pa kuanzia kumhusisha huyo Mungu. yan NGUVU! kulingana na kiwango cha kiutambuzi na ufaham.
tujiulize tu bila uwepo wa ujenzi wa hofu ya yasiyoonekana na yatarajiwayo, mahusiano kati ya viumbe na mazingira yao yangekuwaje?
heko kwa wabunifu wa hofu na hatma baada ya kifo!