Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Kwanini mtu mwenye pesa anakuwa na dharau??

Sio wote!

Isipokuwa Kwa wale ambao amezipata
Kwa kubahatisha yaani kwa manzabe manzabe.

Kwa Yule mwenye kumcha Mungu na mwenye kuzipata kwa njia halali kwa kufanya kazi Kwa bidii hawezi dharau mtu.

Labda awe mkwepakodi.

Ukitajirika Kwa kutolipa kodi stahiki wewe ni dhalili.
 
Mtu ambaye Hana utu ndo mwenye dharau au anayefanyia watu bullying lakini kusalimia watu sio kipimo sahihi Cha kupima heshima ya Mtu au dharau
 
Unachanganya limbukeni na mtafutaji.
Hakuna tajiri mtafutaji mwenye dharau, ukiona mwenye pesa ni tajiri yupo makundi haya mtumishi wa umma, mwizi, kapiga madini, mtoa kafara
Wapo ngoja one day utaexperience tu
 
hamna lolote wengine ukiwa hata na vihela vya mboga wanahisi una dharau mtu ANATAKA KILA MKIKUTANA WEWE NDO UANZE SALAMU shwain kabisa pitaaa hiviiii mbwa poriiiii...KICHAWIII kikubwaa
 
Dharau ni tabia ya mtu binafsi.
Sasa mtu mwenye dharau akipata mtonyo, hugeuza na kuifanya pesa kama fimbo.
 
hamna lolote wengine ukiwa hata na vihela vya mboga wanahisi una dharau mtu ANATAKA KILA MKIKUTANA WEWE NDO UANZE SALAMU shwain kabisa pitaaa hiviiii mbwa poriiiii...KICHAWIII kikubwaa
Kua fair kwa kila mtu
 
Utu unaondoka baada ya kupata pesa unakuta mtu anadharua ata walio msave ata kipind hana100
 
Waache tu wawe na dharau kwasababu hawana hekima, ipo siku watatamani kuwa na hekima lakini haitawezekana tena.
 
Wakuu habarini
I hope mko poa

Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.

Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.

Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?

NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Binafsi inabadilisha how we feel, pesa Ina magnify who are you. Yaani inakuza Tabia yako.
Pesa inabadilisha hisia zako Kama ulavyo chakula kitamu,unafurahia mbususu ,mziki,bia,ke nzuri akitokea mbele yako unapoteza networks,ukiona kitu kizuri,ukikasirishwa.

Kwa kifupi hela inaendesha binadamu na ni binadamu wachache mno wanaoweza kuiendesha hela.
Ukipata bilioni moja ya betpawa labda ndio tutaona dhahiri Tabia yako.
Saivi labda unajificha Mana unaishi unategemea watu so unanyenyekea Ila ukishakuwa na pesa ndefu huko billioni above 500 ndio tutakujua mkuu so saivi hatukujui. Hata jpm aliwabadilikia waliomuweka kwenye system.

Yaani Kuna pesa,sex and power ogopa hizi mambo mkuu.

Sema kikubwa pesa Mana zitaleta sex and power
 
Back
Top Bottom