Hapo ni ishu ya ulimbukeni tuViko connected kbsa pesa iko sambamba na dhereu
Hapo ni ishu ya ulimbukeni tuViko connected kbsa pesa iko sambamba na dhereu
Full tinted mpaka kioo Cha mbele unajiuliza anaonaje barabara kwenye GIZA lile mule ndani ?Huyo alizipata Kwa Mbinu haramu .
Hawa Moja Kwa Moja wanakuaga na Roho mbaya maana Mungu hayupo Ndani yao .
Na ni wengi sana 80% ya matajiri Wana Roho mbaya, dharau sana
Uko sahihi kwa kiasi flani iv but ni muhimu ata kutoa salama... kwani salamu itapunguza nn kwenye utajiri wakoSio kwamba hasalimii wengi ni waoga matajiri wengi hua tunaogopa watu ambao wana life la kawaida kujihami ni muhimu umebeba simu la million 4 unaendesha gari ya million 200 lazima uwe na tahadhari, usipokua makini unaweza ukafa mapema
R.I.P Lucky Dube
Unaongea na watu wa class yako. We utakutana na Mo au dangote uchochoro gani?Ukifikia class ya juu kabsa ndio unakuta mtu aongea na watu kbsa[emoji23][emoji23]
Salamu inatolewa Ila pia sio kila mtu anataka salamu mkuu, mwingine unaweza ukampa salamu akaona unamdharauUko sahihi kwa kiasi flani iv but ni muhimu ata kutoa salama... kwani salamu itapunguza nn kwenye utajiri wako
Umemaliza mkuu uzi ufungwePesa huambatana na shughuli nyingi zinazokufanya kuwa na mambo mengi kila wakati.....jamaa na marafiki wanakuhitaji lakini kuonana kutokana na ratiba ngumu.....
Muda mchache unaopata nafasi ya kupumzika unatumia kulala na kupumzika na familia.......
Lakini hayo yanayotokea ni wewe ndio unaotambua washkaji na jamaa hawajui......na wao wanakuhukumu kwa utashi wao na sio kwa uhalisia wako....ndio baadae huzaliwa neno anajisikia na anaringa.....
Wachache waelewa wanaendelea na mishe zao.......
Unapojaribu kujiiba ili kubalishana nao mawazo unajikuta kimawazo na fikra mnaishi duniani mbili tofauti......
Wakati unajaribu kujichanganya na maongezi unapigiwa simu kuwa mzigo wako bandarini umeshafika.....mara unapigiwa simu kuwa gari lako na biashara limeparamia nyumba za watu......unajikuta unaondoka ili muda wa kupambana na mambo yako huku utasikia anajiona........
Sema ukiwa huna hela unawaona wenye hela wanaringaWakuu habarini
I hope mko poa
Da! hivi ni kwanini pesa iko sambamba na dharau yaani mtu akiwa na pesa tu anajiona mwamba, dharau zinamjaa,, hasalimi watu anawaona kama kijambo wakati akifa watu aliokua anawadharau ndio na mchimbia kariburi lake na kumzika.
Mimi binafsi siezi kuwa na dharau eti kisa nina pesa.
Je, wewe unadhani nini hasa kinafanya mtu mwenye pesa kuwa na dharau ya hali ya juu?
NB. Pesa ni sabuni ya roho na pia ni shetani.
Wee mtu anavimba utafikiri anataka kupasuka aseeKuna jamaa hapa mjini asee anazo pesa nikisema pesa ni pesa kwelii ila hana ushamba wa hivyo yeye analipia gharama .
Nimefanya nae biashara mpaka jengo lake la floor tano limeisha analipa kwa wakati na akichelewa kashapiga simu.
Hata ukimkuta sait kwake hana muda wa kubwekabweka..
Ila hawa wanao miliki Toyota raumu Rav4 na Toyota crown asee sijui kwann wanapanic haraka hivi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
😂😂😂sijui shida ni niniWee mtu anavimba utafikiri anataka kupasuka asee
Mpe somo kijana huyuPesa huambatana na shughuli nyingi zinazokufanya kuwa na mambo mengi kila wakati.....jamaa na marafiki wanakuhitaji lakini kuonana kutokana na ratiba ngumu.....
Muda mchache unaopata nafasi ya kupumzika unatumia kulala na kupumzika na familia.......
Lakini hayo yanayotokea ni wewe ndio unaotambua washkaji na jamaa hawajui......na wao wanakuhukumu kwa utashi wao na sio kwa uhalisia wako....ndio baadae huzaliwa neno anajisikia na anaringa.....
Wachache waelewa wanaendelea na mishe zao.......
Unapojaribu kujiiba ili kubalishana nao mawazo unajikuta kimawazo na fikra mnaishi duniani mbili tofauti......
Wakati unajaribu kujichanganya na maongezi unapigiwa simu kuwa mzigo wako bandarini umeshafika.....mara unapigiwa simu kuwa gari lako na biashara limeparamia nyumba za watu......unajikuta unaondoka ili muda wa kupambana na mambo yako huku utasikia anajiona........
Hahaha [emoji23] nimecheka sanaaaaSalamu inatolewa Ila pia sio kila mtu anataka salamu mkuu, mwingine unaweza ukampa salamu akaona unamdharau
Nikupe kisa
Kuna sehemu nilikaa akawa amepita jamaa hawa waokota makopo hawa katika pita zake nikaona si vibaya kumsalimia jamaa hakuitikia na ningekaa vibaya angenidhuru maana alinikazia jicho sio kawaida hadi nikashtuka kwani salamu ni dhambi? Kwa hio ndio maana mtu tajiri anaona Bora mara 100 a-mind business zake watu wana stress zao,