Mtandao wa Airtel Changamoto sana

Watchtower

Member
Sep 18, 2022
93
182
Wakuu, Mimi Simu kadi yangu namba moja ni Airtel, Nimekuwa na Chip hii for years ila kwa sasa ni almost mwaka mtandao wa Airtel hauko stable kabisa, Unasumbua sana kwenye Mawasiliano ya Calls kuna wakati humsikii mtu au wote hamsikilizani
Nataka ni opt kuachana nao niubakize kwenye data tu (Internet) kwani uko bado wanafanya vizuri je mtandao gani ni mzuri kwa maeneo ya kanda ya Kati na Pwani ndo maeneo muda mwingi nipo
 
Tigo Tanzania siku hz wameboresha sana huduma zao
Data,calls wapo vizuri sana
Ingia huko hautojutia
 
Mbona Airtel iko poa tu mkuu? Ama unaishi kwenye kilele Cha mlima Kilimanjaro?
 
Hamia mtandao mwingine na namba yako,nenda Tigo au Vodacom waeleze kwamba unataka namba yako ya Airtel uhamie kwenye mtandao wao. Hutahitaji kubadilisha namba,nenda kwenye ofisi zao rasmi sio kwa mawakala.
 
Back
Top Bottom