Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Watu wa kaskazini hasa wachagga tumekiona cha moto utawala huu wa Kikwete.
Hata akina Mramba hawakuiba bali walitumia madaraka vibaya kuisababishia hasara serikaliMimi sio ccm, lakini kuna wakati tuwe wakweli. Kwani muhongo ameiba nini? Au tibaijuka? Chenge, ngeleja sawa. Lakini hawa wawili ni nini? Maana muhongo hakutajwa popote, tibaijuka aliomba hela na akaikabidhi bodi ya shule
Wabongo hawana jema,Mahakama ingewaachia huru wangesema wanalindana Imewafunga pia wanahoji mbona wengine hawajafungwa??
Jiulize mafisadi Idris Rashid, Mustafa Mkulo, Juma Kapuya na Ramadhan Dau hawaguswi
Tuhuma za hawa watu hazifanani tena za hawa wakina Mramba naweza kusema tuhuma na makosa yao ni madogo ukiringanisha kiwango cha fedha walichokitia kwa serikali kwani ni Billion 11, Siwatetei akina Mramba lakini ebu tuangalie viwango vingine vya fedha ambavyo serikali imepata hasara.Kwa mtazamo wako, je unaona tuhuma za hao watu zinafanana?
na bodi ya shule wakanunua mboga na nyingine wakanunua hisa mkombozi bankMimi sio ccm, lakini kuna wakati tuwe wakweli. Kwani muhongo ameiba nini? Au tibaijuka? Chenge, ngeleja sawa. Lakini hawa wawili ni nini? Maana muhongo hakutajwa popote, tibaijuka aliomba hela na akaikabidhi bodi ya shule
Kuna kitu hakiko sawa!!
Mimi sio ccm, lakini kuna wakati tuwe wakweli. Kwani muhongo ameiba nini? Au tibaijuka? Chenge, ngeleja sawa. Lakini hawa wawili ni nini? Maana muhongo hakutajwa popote, tibaijuka aliomba hela na akaikabidhi bodi ya shule