Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Kwanini Mke wa pili huwa mkorofi?

Mke mdogo anakuwa ameshapewa kiburi na mwanaume, hivyo anaamini kwamba amekuzidi uzuri ndiyo maana Mume wako kamfuata.
Nimeshuhudia mengi kuhusu ndoa za mitara.
Tumwomben tuu MWENYENZI MUNGU ATUFANYIA WEPESI KATIKA KILA JAMBO, NA ATUPE SUBRA NA UVIMILIVU TUSIJEKUWA VIKWAZO KWA WENGINE...
 
Hili swali lilifaa liwe hivi:

"Kwanini Mume huwa anafall in love completely na kumjali zaidi mke wa pili au mke mdogo kuliko wa kwanza? "

Hii inatokea kwenye familia nyingi kweli.
Mkuu mke mdogo ndio issue anapoolewa anajitia yeye ndio anamjua zaidi mume kuliko wewe mkubwa na zaidi hua na nyodo kupindukia wakati yeye ndio kakuchukulia mumeo...
 
Mke mdogo anakuwa ameshapewa kiburi na mwanaume, hivyo anaamini kwamba amekuzidi uzuri ndiyo maana Mume wako kamfuata.
Nimeshuhudia mengi kuhusu ndoa za mitara.
Tumwomben tuu MWENYENZI MUNGU ATUFANYIA WEPESI KATIKA KILA JAMBO, NA ATUPE SUBRA NA UVIMILIVU TUSIJEKUWA VIKWAZO KWA WENGINE...
Ameen ya Rabb,manake unaweza kushikwa na uchungu bila kua na mimba,na kuzaa usizae...
 
Ni kweli kwa anaekubali lakini. Hivi ni kwanini mtu ushare mume, knowingly? Mm sikubali kuolewa as a second wife, na pia kuletewa mke mwengine ndani. When he wishes to do that, i'm done. Don't do unto others what you don't want others to do unto you!
..tunafuata maelekezo yq dini, hakuna ubaya kama dini inaruhusu, uwezo unaruhusu. You can't go against your faith mama!!
 
..tunafuata maelekezo yq dini, hakuna ubaya kama dini inaruhusu, uwezo unaruhusu. You can't go against your faith mama!!
Dini hiyo inasema na mm lazima niridhie[emoji6]. And as far as going against my faith goes, thy shall not commit adultery..... guess what! People still do it, the list is endless. So that one there is my down fall as far my faith is concerned. May the Allah forgive me![emoji120]
 
Mkuu mke mdogo ndio issue anapoolewa anajitia yeye ndio anamjua zaidi mume kuliko wewe mkubwa na zaidi hua na nyodo kupindukia wakati yeye ndio kakuchukulia mumeo...
Kakuchukulia wapi wakati mmeo ndio kamchukua?? Kama ni makosa ni ya mumeo.
 
Hayo mambo ya uke wenza wanaweza Islamic mm noooooo akiniletea mke naondoka mapema sana
 
Mume anatakiwa kuwa muadilifu anapooa mke wa pili, asimpendelee sana mke wa kwanza kisa ametoka nae mbali huyu wa pili atajisikia vibaya atakapogundua. Kama mwanaume huna uwezo na uadilifu baki na mmoja
Well said

Maana wanaume hatujalazimishwa na matatizo yote haya yanakuja baada ya watu kuoa kufuatia matamanio ya nafsi na si sababu za msingi,

Kumbuka ukioa mke wa pili/tatu/nne wote wanakuwa na haki sawa na si mmoja umpe dagaa mwingine mboga tofauti na hizo hapo ndipo husda inapoanzia au mwingine ananunuliwa kanga mwingine kitenge

Wanaume ndiyo huwa tunawafanya wawe na matabaka na chuki inapoanzia
 
Apendelewe na sio lazima mpaka yule ajue,lakini priority kwanza yeye na azidishiwe,yeye ameweza kuhimili
dhiki tafran shida,leo inakuwaje apewe sawa na huyu alokuja sijui amemuokota wapi...
Jifunze katika dini yako inaeleza vizuri suala la uke wenza na haipaswi mmoja aongezewe kutoka kwa mwingine na mwanaume anayefanya hivyo ajuwe anakosea
 
Makosa ya dini kuruhusu, smh😕.
Dini haijatenda makosa ila yote ni kunusuru umma,ila kibaya kati ya waoaji na waiolewaji si wenye kutambua uke wenza bali kufanya kwa matamanio yao binafsi,hivyo kusema dini ndiyo yenye makosa ingekua dini inaoa sawa.

Kumbuka hata dawa inageuka sumu pale inapotumika tofauti
 
Yaani nilivyohangaika na mke wangu mpaka sasa hivi maisha yamekua kipato cha kati halafu itokee nioe mke wa pili alete upuuzi ataondoka tu,kwanza nikiamua kuoa mke wa pili ntatumia vigezo vifuatavyo
(a) awe na kazi au anashughuli yake ya kudumu ambayo inamuingizia kipato
(b) awe hana uwezo wa kuzaa yaani MGUMBA
Utakuwa unafata matamanio ya nafsi
 
Hi MMU,
Nina Shogangu mumewe ameoa mke wa pili lakini yule mdada ni mkorofi utadhani yeye ndio mke wa kwanza, wakati mke wa kwanza ndio alokula dhiki na yule mume sasaivi mambo safi kiasi mume ndio kaongeza mke wa pili.

Wake jamani mnapoingia kwenye ndoa kama mke wa pili au wa 3 hebu muheshimu mwenzio, ujue na yeye ana moyo na sio rahisi kama mnavyodhania.

Na wanaume mkiongeza wake ebu msimsugue roho yule wa mwanzo ni mama wa watoto wako. Mtetee inapobidi na mpe priority kama mke wa kwanza sio kila kitu iwe kosa lake tuu.

Inshallah Mwenyezi Mungu awape Subra manake si mtihani mdogo, naona huruma mtu mumewe akioa. Mwenyezi Mungu aninusuru manake huyu wangu akioa sijui itakuwaje.
Mamii,isije ikawa wewe ndio muhanga au vipi?
 
Jifunze katika dini yako inaeleza vizuri suala la uke wenza na haipaswi mmoja aongezewe kutoka kwa mwingine na mwanaume anayefanya hivyo ajuwe anakosea
Huoni hiyo inafanya kazi kama mume ametafuta peke yake? yani kaoa huku kila kitu anacho hata akioa wanne wote mtakula kwa jasho lake so ni lazima atende haki.
Vipi kwa ambaye wameanza maisha na mwanamke hana kitu wametafuta wote hadi mambo yakawa mazuri then mwanaume akaoa mke wapili hapo wakipewa sawa si huyu wa kwanza atakuwa anapunjwa? Maana ye ndo kaangaika nahuyo mwanaume mke wa pili kaja kula tu.
 
Kingine kama Mwenyezi Mungu aliwaruhusu muoe wake wanne mbona kawapa wanawake mioyo ya wivu? Inamaana Mungu anapenda wanawake wanavoumia kisa mume kaoa mke mwingine wakati kawarusu mwenyewe muoe? Nifahamisheni hapo kwanza.
 
mke wa pili anakujaga baada ya mke wa kwanza kushindwa majukumu au kuolewa na mwanaume mfuksa au muislam sasa mara nyingi penzi jipya tamu...ukweli ni adui ni ngumuuu
 
Back
Top Bottom