std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,738
- 2,643
Ukiwaza ngono sana uwezo wa kufikiri unakuwa mdogoHata dada zenu pia hawajui kugegedana au ndio vile wamesoma sana
Ukiwaza ngono sana uwezo wa kufikiri unakuwa mdogoHata dada zenu pia hawajui kugegedana au ndio vile wamesoma sana
fundisheni weke zenu kupika mimi mama hawezi kunilisha matap tap maana mimi ni fundi kwenye kupika viungo unafaidi mautam.Aisee chakula cha Mwambao ni kitamu balaa sijui wanapika wakiwa uchi? Au pale Cafe la Aziz. Unaweza ukaondoa ratiba ya kula nyumbani.
Mnaposifia mtu kujua kipika taja na aina ya chakula anachopika.Kuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri
Hapana. Tupo ambao mapishi ya pwani yanatuboa kulingana na asili zetu. Si kila mtu anapenfa vyakula vyenye viungo vingi.Kuna ka ukweli.
Wanaoshabikia mapishi ya pwani watuambie ni mapishi ya kitu gani.Pale, Turiani Morogoro kuna Mangi mmoja wanamuita Masawe, aisee jamaa kwa kupika Supu ya mbuzi kali ni balaa... Sijui anaweka nini hiyo Supu yake maana ni so delicious...
Bila shaka mumeo unamlisha notes zinazonukia harufu nzuuuuuri ya wino.
Kusoma kwako kukusaidie kujitambua ili kuyamudu mazingira ya sasa na yajayo.
Mazingira yajayo ni kujua kuwa ipo siku utakuwa mke, na huna budi kutimiza majukumu yako ikiwa ni pamoja na kumpikia mumeo. Vipo vitu vingi vinavyoongeza upendo, hata hili pia lina mantiki.
Hujachelewa, chukua hatua.
Labda ukinizalisha weweHakuna, kuzalishwa zalishwa je?
Wake zetu wanafahamu kupika aina ya vyakula vya kwetu. Kwenye mapishi ya mlenda nani hodari kati ya mnyamwezi na mpemba?fundisheni weke zenu kupika mimi mama hawezi kunilisha matap tap maana mimi ni fundi kwenye kupika viungo unafaidi mautam.
Kwa kuwa hatujasoma kazi za ofisi tunawaachia nyie sisi tunapikaMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Sinaniii naniii za nchi hiiLabda ukinizalisha wewe
Sio kila mmiliki mgahawa muislam anajua kupika ila Kuna jamii ya kutokea mahali Fulani, Ni mafundi hata mkristo akikulia mazingira Yao anakua mkali wa mahanjumati. Upishi pamoja Na kuwa ni utamaduni lakini pia ni elimu Kama elimu nyingine hivyo huweza kufundishika katika jamii nyingine yoyoteMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Mawazo yako yanalenga , uchochezi utakao sababisha uvunjifu wa amani nchini kama usipodhibitiwa.kaa chonjo nitakushughulikia kabla hujashughulikiwa na vyombo vya dola
Hata mimi si wa nchi hii, karibu Odessa!Sinaniii naniii za nchi hii