Kwanini Marekani inachukiwa sana?

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
288
612
Habari wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Marekani tunajua ndilo taifa lenye nguvu sana duniani so far.

Je, ni kwanini tunaaminishwa mambo mabaya tu yanatokea Marekani?

Hii chuki ya jamii nyingi haswa za kiarabu dhidi ya Marekani je ni kwa sababu tu ya vita na maslahi yake ya mafuta katika ulimwengu wa Kiarabu au kuna chanzo kingine cha chuki dhidi yao?

Na pia wamarekani wanachukiwa kwa vile wamefanikiwa sana au shida ipo wapi?

Wengine wameenda mbali na kusema Marekani inamwabudu Lucifer ndio maana wapo hapo walipo leo. So sad indeed

Wakuu, kama kuna atatujuza kwenye hili nitashukuru sana..

Akhsante

MÊmENtO HoMO
 
Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.

1. Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2. Economic & military power.

Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.

Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu.
 
Ukweli mchungu: Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.

1. Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2. Economic & military power.

Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.

Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Asante ndugu. Hata kama watu watawachukia wamarekani, lakini kiukweli na wenyewe wame hustle vya kutosha na tutaendelea kuwategemea for many years to come.

MÊmENtO HoMO
 
Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.

1. Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2. Economic & military power.

Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Hizo Nguvu Alizonazo Hao Wasiokua Waislam wanaraha ipi yakuishi?

Angalia VENEZUELA waislam Wale ?!
Rudi Kawaangalie Zimbabwe Waislam wale ?!
Rudi Angalia Anavyowaambia Muowane Watu Wenye Jinsia moja kawaambia waislam tu?
angalia Vikwazo anavyomtwanga Navyo RUSSIA na UCHINA yale nimataifa Yakiislam ?!

US hachukiwi Kwasababu Ya UDINI Anachukiwa Kwasababu yauonevu wake uliojaa ulimwenguni sio kwamataifa Yakiislam tu ama Yawaislam Ila Mpaka Hayo Yanayojiita Yakisekyula Angalia Mataifa Mangapi Yasiokua Yakiislam Yanavyoteseka Ulimwenguni Sababu Ya US au NORTH KOREA niwaislam wale ?!

Tatizo lenu mmemezeshwa propaganda baadhi ya watu wameamua kufungamana na UCHINA na RUSSIA kwan UCHINA ama RUSSIA nimataifa Yakiislam yale ?!

Tafakari upya juu ya US kiongozi Unahisi kama Itatokea Sasa hv US akawa sio SUPER POWER unahisi litatawala taifa ambalo nila KIISLAM ?!

Ukweli Nikwamba US nipangimizi Kwaustawi Wayeyote ambae atakua Haendi Sawa na anavyotaka yeye wala Sio Ustawi wamataifa ya KIISLAM kwani SAUDIA QATAR UAE Zimefika pale zilipo kwaushirikiano wanani nakwamsaada wanani kama sio hao hao US ama QATAR SAUDI ARABIA na UAE Sio mataifa Yakiislam ?!

Kama nikikwazo kwamaslahi Ya Mataifa Yakiislam QUBA niwaislam VENEZUELA niwaislam ZIMBABWE niwaislam AFRIKA KUSINI ilokua Chini Yamandela Niwalikua Waislam UKRAINE ilikua Yawaislam ?!

Kama Utaamua Kwenda Kinyume namatakwa ama maslahi ya US hatakama UK atageukwa tu hatakama CANADA atageukwa tu US linapokuja SUALA lamaslahi yake hua haangalii kama mnadini sawa ama vp atakunyoosha tu

Nb:-sidhanii kama US nitaifa linalofungamana na mrengo fulani wakidini sidhaniii

Sent using My COVID-19
 
Marekani Ni super power ya uharibifu..Venezuela Ni taifa la kikristo,, Hawa wamarekani wakataka kuiba mafuta, ikashindikana,marekani wakateua rais was Venezuela na wanalazimisha achukue nchi. Wameshindwa, wanaweka vikwazo, Venezuela Ana mafuta mengi Sana, lakini sababu ya vikwazo hawawezi kuchimba, uchumi umekufa, watu wanakufa njaa

Iran wakajitolea, supertanker tano zikajazwa mafuta kupeleka Venezuela, hivi Sasa ziko njiani. Marekani kusikia, ametuma manowari zake kadhaa kwenda kuzitanga hizo supertanker na ikibidi kuzikamata. Hiyo maana yake wiki inayokuja kunaweza kuwa na breaking news za kutosha tu.
 
Hizo Nguvu Alizonazo Hao Wasiokua Waislam wanaraha ipi yakuishi ?!

Angalia VENEZUELA waislam Wale ?!
Rudi Kawaangalie Zimbabwe Waislam wale ?!
Rudi Angalia Anavyowaambia Muowane Watu Wenye Jinsia moja kawaambia waislam tu ?!
angalia Vikwazo anavyomtwanga Navyo RUSSIA na UCHINA yale ninataifa Yakiislam ?!

US hachukiwi Kwasababu Ya UDINI Anachukiwa Kwasababu yauonevu wake uliojaa ulimwenguni sio kwamataifa Yakiislam tu ama Yawaislam Ila Mpaka Hayo Yanayojiita Yakisekyula Angalia Mataifa Mangapi Yasiokua Yakiislam Yanavyoteseka Ulimwenguni Sababu Ya US au NORTH KOREA niwaislam wale ?!

Tatizo lenu mmemezeshwa propaganda baadhi ya watu wameamua kufungamana na UCHINA na RUSSIA kwan UCHINA ama RUSSIA nimataifa Yakiislam yale ?!

Tafakari upya juu ya US kiongozi Unahisi kama Itatokea Sasa hv US akawa sio SUPER POWER unahisi litatawala taifa ambalo nila KIISLAM ?!

Ukweli Nikwamba US nipangimizi Kwaustawi Wayeyote ambae atakua Haendi Sawa na anavyotaka yeye wala Sio Ustawi wamataifa ya KIISLAM kwani SAUDIA QATAR UAE Zimefika pale zilipo kwaushirikiano wanani nakwamsaada wanani kama sio hao hao US ama QATAR SAUDI ARABIA na UAE Sio mataifa Yakiislam ?!

Kama nikikwazo kwamaslahi Ya Mataifa Yakiislam QUBA niwaislam VENEZUELA niwaislam ZIMBABWE niwaislam AFRIKA KUSINI ilokua Chini Yamandela Niwalikua Waislam UKRAINE ilikua Yawaislam ?!

Kama Utaamua Kwenda Kinyume namatakwa ama maslahi ya US hatakama UK atageukwa tu hatakama CANADA atageukwa tu US linapokuja SUALA lamaslahi yake hua haangalii kama mnadini sawa ama vp atakunyoosha tu

Nb:-sidhanii kama US nitaifa linalofungamana na mrengo fulani wakidini sidhaniii

Sent using My COVID-19
Umechambua vizuri
 
Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.
1.Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2.Economic & military power.
Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Kwanza wewe mwenyewe ni mdini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu angekuwa ndio mmarekani angetunyanyasa sana hasa kwenye maswala ya kidini, angefosi watu wote wawe Waislamu.
Kwanini wasiwe wanawafosi watu wachache ambao wanawatawala katika mataifa yao kwanza?

Mfano IRAN kama wakiamua kuwaambia Wasio WAISLAM Wachache Kwalazima wanashindwa ama wangeshindwa kama wanavyofanya Kule UCHINA dhidi ya waislam wa (UIGHUR)

Ila wanahisi hakuna namna wala maana yakulazmishana katika masuala yadini kila mmoja ana uhuru wakuabudu anachokitaka alimuradi havunji sheria tajwa yataifa husika.

Leo hii kama utataka Usikanyage tena nchi za Ulaya Ya (EU) uwanyanyapae Mashoga Nakwambia Hutakaa Uikanyage Tena Ulaya Mpaka Unakufa.

DUNIA Inamambo sana hiii.

Sent using My COVID-19
 
Marekani Ni super power ya uharibifu..Venezuela Ni taifa la kikristo,,Hawa wamarekani wakataka kuiba mafuta,ikashindikana,marekani wakateua rais was Venezuela na wanalazimisha achukue nchi.

Wameshindwa,wanaweka vikwazo,Venezuela Ana mafuta mengi Sana, lakini sababu ya vikwazo hawawezi kuchimba,uchumi umekufa, watu wanakufa njaa.

Iran wakajitolea,supertanker tano zikajazwa mafuta kupeleka Venezuela,hivi Sasa ziko njiani. Marekani kusikia,ametuma manowari zake kadhaa kwenda kuzitanga hizo supertanker na ikibidi kuzikamata. Hiyo maana yake wiki inayokuja kunaweza kuwa na breaking news za kutosha tu.

Haya yote mnasema lakini USA ndiyo taifa inayoongoza kwa kua na watu wengi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni na wanaishi kwa furaha sana wenda wafanye makosa au laa lakini wanasikilizwa kwa ubinadamu wao siyo kwa utaifa wao.
Nenda kwenye hayo mataifa mnayosema yanaonewa na USA uone wanavyoonea raia wa mataifa mengine.

Kuhusu suala la taifa kama taifa hapa tu Tanganyika tunawakandamiza taifa la Zanzibar kila kukicha kwa mwamvuli la muungano wa Tanzania.

Ukweli ni kua USA bado ni sehemu salama kwa binadamu yeyote kuishi kuliko huko Venezuela..Russia..China...Korea kaskazini...Tanzania..Kenya...Japan..Iran...Israel..Kidogo Uk inajua nini maana ya ubinadamu.

Kwa lugha moja USA bado itaendelea kuingoza dunia kwasababu katiba yao iliandaliwa na watu kwa mijadala mipana siyo hizo nchi zingine viongozi wanajifungia chumbani then wanatoka na kikaratasi ya kuanza kukandamiza wananchi wao.
 
Back
Top Bottom