Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,001
- 37,414
Nimekuelewa MKUU ila nahisi pia nawewe hujanielewa Majibu Yangu VyemaMi naon kheri marekani sababu kuna mchanganyiko wa watu ingawa racism bado ipo na afro americans pia wanakabiliwa km sisi waafrica
Kuliko haya mataifa ambayo yanapingan na system ya mmarekan na wanatak ku take control, haya mataif ni mabay zaidi
1.china
2.russia
Kuna ubaguzi mkubwa pia na china huwa wapo kwaajil ya interest zao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi Nimetoa Sababu zakwanini US anachukiwa Nanikatoa Sababu Zakuhusiana Na Jamaa Hapo Alosema Yakwamba Waislam Ndio Wanaoichukia US nanikatoa Mfano Wamataifa Yasiokua Yakiislam Ambayo Yamedumazwa Nakutaka Maslahi Kwa US bilakujali wao Nidini Ipi Nahapo hapo Nikamuekea Mfano Wamataifa Ambayo Niyakiislam Ambayo Chachuyamaendeleo Yake Yametokana na Wamagharibi(US)
Kuhusiana nasuala la Interest Hatakama Itatokea Super Power Ikawa UGANDA basi lazma waweze kuangalia Interest Zao kwanza mengine yatafuata
Nb:-lengo lajibu langu hapojuu kwamtoa koment haikua kama nani anafaa kua kiranja wadunia kwasasa ama laa ila ilikua kutaka kumuonesha yakwamba
1:-US linapokuja suala lamaslahi yake hua haangalia kama wewe dini gani wala nini yeye anaangalia maslahi kwanza hayo mambo mengine mtajuana baadae
2:-Nlikua Nataka Kumuonesha mtoa koment hapo juu yakwamba yapo mataifa ambayo 99% niwaislam nalipowazi yakwamba wameendelea sana baada yakufungamana na US
3:-Nlikua Nataka Kumuonesha Yakwamba Hata VENEZUELA NORTH KOREA RUSSIA UCHINA CUBA haya yote sio mataifa Ya Waislam wala Yakiislam Ila Yameionja Shubiri Ya US kwanamna moja Ama Nyengine
Kwahio lengo langu lilikua nihili tu MKUU kama umenielewa vyema lakini.
Sent using My COVID-19