Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,001
- 37,414
Shukran MKUU.
Sent using My COVID-19
Shukran MKUU.
sio angefulia tu asingeweza Kuimba nakama angeimba asingeweza kufika level aliofika sababu kule mziki haupewi kipaombele kama US.Hapana, angeenda huko angefulia mno, US ndo kinara wa burudani duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi angekuja bongo?sio angefulia tu asingeweza Kuimba nakama angeimba asingeweza kufika level aliofika sababu kule mziki haupewi kipaombele kama US.
Sent using My COVID-19
[emoji16][emoji16][emoji16] kuja kufanya nini ?!
Mziki[emoji16][emoji16][emoji16] kuja kufanya nini ?!
Sent using My COVID-19
hhhh aende akajaribu labda anaweza ama angeweza akatoboa pengine[emoji16][emoji23][emoji23]
Hakuna nchi isiyokua na mapungufu ila wenzetu wamejitahidi sana. Wapo mbali mno kuliko unavyoweza kufikiri. Huyo Akon alikua kibaka akatupwa jela akatoka akafanya music mpaka sasa hivi ni famous na milionaire. Angekua kule Senegal angeweza kutoboa hivyo?
Kiwanja ni Land of opportunities!Sio Senegal tu vipi angekua huko Aabuni? Nimeuliza wataje mgeni yeyote anayefahamika aliyetoboa kwenye hizo nchi zao hawajataja jina hata moja mbaka sasa. Ni kiwanja tu mgeni ana level playing field sawa na mzawa dunia nzima.
Hizi zaidi ya Pumba uliwahi tembelea Nchigani yakiarabu Ambayo wasio waarabu hawamiliki hata Mgahawa !Chuki za kidini Amerika ikikosa nguvu Wakristo watachinjwa wote na waislamu
Nenda uarabuni huwezi pata mafanikio hata ya kuwa na mgahawa ukiwa nchi za magharibi ni juhudi yako tu. Nchi zinazo onewa zinamatatizo wanakula vya mmarekani wanagoma kulipa lazima uchapwe.
Dini ya Waarabu ina walakini
Sent using Jamii Forums mobile app