Ubabe Ndiyo unaosababisha wachukiwe, hebu angalia nchi Kama Canada, unaichukiaje wakati hainyanyasi nchi zingine? Marekani wao Ndiyo wanajifanya polisi wa dunia, Tena polisi wenyewe ni wale wa kuwabambika kesi raia wake Kama wa nchi Fulani hivi.Habari wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Marekani tunajua ndilo taifa lenye nguvu sana duniani so far.
Je ni kwanini tunaaminishwa mambo mabaya tu yanatokea Marekani?
Hii chuki ya jamii nyingi haswa za kiarabu dhidi ya Marekani je ni kwa sababu tu ya vita na maslahi yake ya mafuta katika ulimwengu wa kiarabu au kuna chanzo kingine cha chuki dhidi yao?
Na pia wamarekani wanachukiwa kwa vile wamefanikiwa sana au shida ipo wapi?
Wengine wameenda mbali na kusema Marekani inamwabudu Lucifer ndio maana wapo hapo walipo leo.so sad indeed [emoji19]
Wakuu kama kuna atatujuza kwenye hili nitashukuru sana..
Akhsante
MÊmENtO HoMO