Kwanini silaha za Kirusi/ Soviet ni dhaifu zikilinganishwa na silaha za Marekani /West?

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,620
6,079
Natumai hamjambo wanajf.

Nimekuwa nikiona mijadala humu pengine na kwingineko mitandaoni juu ya udhaifu wa silaha za Kisovieti/ Russia hasa ndege vita na vifaru dhidi ya zile za kimagharibi hususan kutoka US katika uwanja wa vita.

Hii hasa ni baada ya Vita ya Vietnam. Lakini je silaha hizi kweli ni dhaifu? Kwangu Mimi jibu ni hapana kwanini? Ni kutokana na ubora wake vitani japo kwa uchache ambapo zilifanya vizuri na zinafanya vizuri.

Kwa mfano ndege Vita ya Iraq aina ya mig 25 ( third generation) iliiondondosha ndege ya kizazi Cha nne ya wanamaji wa US, F 18 . Hiyo ilikuwa mwaka 1991 katika operation ya washirika dhidi ya Iraq katika siku ya kwanza tu, Lakini hata hivyo kufeli katika mapambano kwa silaha hizi kunachukua uwanja mpana zaidi kuliko ufaulu wake vitani dhidi ya silaha za kimarekani . Leo Niko hapa kukuletea sababu kadhaa za udhaifu huu.

1. Defections, Huu ni usaliti uliofanywa na marubani wa kisovieti na mataifa mengine kwa kuiba ndege za taifa na kuwapelekea upande kinzani wa US na genge lake. Mwaka 1976 rubani wa kisovieti Victor Belenko aliiba ndege Vita ya Siri aina ya mig 25 na kuingia nayo Japan ambapo ilifapekenyuliwa ndani nje na wamarekani na hivyo kupelekea anguko la ndege hii vitani eg kule Iraq 1988 ,1981, na 2003. Pia kule Iraq mwaka 1967 rubani wa Iraq alikimbia na ndege aina ya mig 21 na kuingia nayo Israel. Huko ilifanyiwa upekenyuzi wa kutambua udhaifu na ubora wake Kama Vita ingetokea Tena. Hili baadae limekuja kuwa sababu moja Kati ya nyingi za kushindwa kwa Syria na Iraq Vita ya 1967 dhidi ya Israel. Lakini pia miaka ya 80 rubani wa Kisovieti aliiba ndege mahiri zaidi kwa kipindi hicho mig 29 na kuingia nayo Uturuki. Japo ilirudishwa haraka kwasababu Uturuki haikutaka kuharibu uhusiano mzuri uliokuwemo Kati yao na wasovieti. Kwa namna hii silaha hizi hazina Tena nguvu Wala kitisho kwa wamagharibi leo.

2. Urusi kuuza silaha Bora zaidi kwa washirika wa Marekani, mwaka 2019 Russia imeuza moja ya silaha Bora zaidi ya ulinzi wa anga aina ya S 400 kwa Uturuki ambayo ni mshirika mkubwa wa Marekani dhidi ya Urusi hasa katika Mashariki ya Kati na Eurasian Zone.Jambo hili ni hatari zaidi kwa Urusi hasa endapo kiongozi ndumilakuwili wa Turkey ataondoka madarakani. Silaha hiyo itachunguzwa na Marekani. Hivyo Basi endapo hili litatokea silaha hii itakuwa so chochote ikitumika dhidi Marekani na washirika wake.

3. Ukosefu wa uzoefu wa kutumia silaha hizi, kwa mfano licha ya Venezuela kuwa na ndege Kama su 30 mfanowe F15, na f16 hawana uzoefu wa kutosha kutumia ndege hizi kwani kwa mwaka mzima marubani hutumia chini ya saa 24 pekee katika mafunzo. Hii inatokana na kwamba wateja wakubwa wa silaha hizi ni nchi zisizojiweza kiuchumi hivyo hawana bajeti ya kutosha kufanya hili. Vile vile hili lipo kwa Syria na Iraq. Hivyo Basi ni vigumu kwa wao kushindwa Vita dhidi ya adui mwenye nguvu kubwa Kama USA, France, na UK.

4. Ukosefu wa EWS ( Early Warning Systems and Control) aircrafts na military Satellites kwa washirika wa Urusi ambao ni adui wa US. Mifumo hii ndio hufanya spotting na kudetect mienendo ya kijeshi ya nchi pinzani. Kwa mfano ili ndege ikashambulie shabaha kwa usahihi inahitaji mawasiliano na satelite kuhusu aina na zilipohifadhiwa silaha za adui. Kwa mfano ndege advanced yà Iraq mig 29 ilifeli Sana vitani Iraq mwaka 2003 kwa Kukosa data muhimu , jamming systems, na mienendo ya kijeshi ya adui zake. Kwa ufupi nikupe mfano mdogo wa umuhimu wa EWS aircraft. Mwaka 1991 Russia walikuwa wakichunguza mienendo ya washirika dhidi Iraq kupitia Ukraine kwa ndege zao za EWS ziitwazo A-50. Nadhani unaweza kuona umuhimu wa ndege hizi kutokana na umbali kutoka Ukraine mpaka Iraq. Pia wamarekani Wana ndege hizi ziitwazo E-3 Sentry na Poseidon. Lakini hakuna hata mmoja Kati ya washirika Hawa wa Urusi Wana vitu hivi . Na hivyo Basi wamekuwa wakipigika vilivyosababisha na wamarekani pamoja na washirika wake.

Mwisho nakaribisha maoni jengefu ya kuongeza maarifa, kukosoa na vinginevyo.

Chanzo: Kwa msaada wa Google.
 
Natumai hamjambo wanajf. Nimekuwa nikiona mijadala humu pengine na kwingineko mitandaoni juu ya udhaifu wa silaha za Kisovieti/ Russia hasa ndege vita na vifaru dhidi ya zile za kimagharibi hususan kutoka US katika uwanja wa vita. Hii hasa ni baada ya Vita ya Vietnam. Lakini je silaha hizi kweli ni dhaifu? Kwangu Mimi jibu ni hapana kwanini? Ni kutokana na ubora wake vitani japo kwa uchache ambapo zilifanya vizuri na zinafanya vizuri. Kwa mfano ndege Vita ya Iraq aina ya mig 25 ( third generation) iliiondondosha ndege ya kizazi Cha nne ya wanamaji wa US, F 18 . Hiyo ilikuwa mwaka 1991 katika operation ya washirika dhidi ya Iraq katika siku ya kwanza tu, Lakini hata hivyo kufeli katika mapambano kwa silaha hizi kunachukua uwanja mpana zaidi kuliko ufaulu wake vitani dhidi ya silaha za kimarekani . Leo Niko hapa kukuletea sababu kadhaa za udhaifu huu.
1. Defections, Huu ni usaliti uliofanywa na marubani wa kisovieti na mataifa mengine kwa kuiba ndege za taifa na kuwapelekea upande kinzani wa US na genge lake. Mwaka 1976 rubani wa kisovieti Victor Belenko aliiba ndege Vita ya Siri aina ya mig 25 na kuingia nayo Japan ambapo ilifapekenyuliwa ndani nje na wamarekani na hivyo kupelekea anguko la ndege hii vitani eg kule Iraq 1988 ,1981, na 2003. Pia kule Iraq mwaka 1967 rubani wa Iraq alikimbia na ndege aina ya mig 21 na kuingia nayo Israel. Huko ilifanyiwa upekenyuzi wa kutambua udhaifu na ubora wake Kama Vita ingetokea Tena. Hili baadae limekuja kuwa sababu moja Kati ya nyingi za kushindwa kwa Syria na Iraq Vita ya 1967 dhidi ya Israel. Lakini pia miaka ya 80 rubani wa Kisovieti aliiba ndege mahiri zaidi kwa kipindi hicho mig 29 na kuingia nayo Uturuki. Japo ilirudishwa haraka kwasababu Uturuki haikutaka kuharibu uhusiano mzuri uliokuwemo Kati yao na wasovieti. Kwa namna hii silaha hizi hazina Tena nguvu Wala kitisho kwa wamagharibi leo.
2. Urusi kuuza silaha Bora zaidi kwa washirika wa Marekani, mwaka 2019 Russia imeuza moja ya silaha Bora zaidi ya ulinzi wa anga aina ya S 400 kwa Uturuki ambayo ni mshirika mkubwa wa Marekani dhidi ya Urusi hasa katika Mashariki ya Kati na Eurasian Zone.Jambo hili ni hatari zaidi kwa Urusi hasa endapo kiongozi ndumilakuwili wa Turkey ataondoka madarakani. Silaha hiyo itachunguzwa na Marekani. Hivyo Basi endapo hili litatokea silaha hii itakuwa so chochote ikitumika dhidi Marekani na washirika wake.
3. Ukosefu wa uzoefu wa kutumia silaha hizi, kwa mfano licha ya Venezuela kuwa na ndege Kama su 30 mfanowe F15, na f16 hawana uzoefu wa kutosha kutumia ndege hizi kwani kwa mwaka mzima marubani hutumia chini ya saa 24 pekee katika mafunzo. Hii inatokana na kwamba wateja wakubwa wa silaha hizi ni nchi zisizojiweza kiuchumi hivyo hawana bajeti ya kutosha kufanya hili. Vile vile hili lipo kwa Syria na Iraq. Hivyo Basi ni vigumu kwa wao kushindwa Vita dhidi ya adui mwenye nguvu kubwa Kama USA, France, na UK.
4. Ukosefu wa EWS ( Early Warning Systems and Control) aircrafts na military Satellites kwa washirika wa Urusi ambao ni adui wa US. Mifumo hii ndio hufanya spotting na kudetect mienendo ya kijeshi ya nchi pinzani. Kwa mfano ili ndege ikashambulie shabaha kwa usahihi inahitaji mawasiliano na satelite kuhusu aina na zilipohifadhiwa silaha za adui. Kwa mfano ndege advanced yà Iraq mig 29 ilifeli Sana vitani Iraq mwaka 2003 kwa Kukosa data muhimu , jamming systems, na mienendo ya kijeshi ya adui zake. Kwa ufupi nikupe mfano mdogo wa umuhimu wa EWS aircraft. Mwaka 1991 Russia walikuwa wakichunguza mienendo ya washirika dhidi Iraq kupitia Ukraine kwa ndege zao za EWS ziitwazo A-50. Nadhani unaweza kuona umuhimu wa ndege hizi kutokana na umbali kutoka Ukraine mpaka Iraq. Pia wamarekani Wana ndege hizi ziitwazo E-3 Sentry na Poseidon. Lakini hakuna hata mmoja Kati ya washirika Hawa wa Urusi Wana vitu hivi . Na hivyo Basi wamekuwa wakipigika vilivyosababisha na wamarekani pamoja na washirika wake.
Mwisho nakaribisha maoni jengefu ya kuongeza maarifa, kukosoa na vinginevyo.
Source: Kwa msaada wa Google.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kutokana na mapenzi yako ila ukija kwenye uhalisia wala haipo ivyo, silaha za Warusi zimeendelea kuwa bora mpaka leo hii wala hakuna ubishi kwa ilo

Ukija kwenye tukio la juzi mpaka Dunia yote ikashangaa baada ya kupigwa visima vya mafuta vya Saudia wakati kuna mifumo ya patriot.

Pia tukio lingime ni la kwenye kambi za Marekani ndani ya Iraq, balistic za Iran zimepenya vizuri tu pasipo pingamizi lolote lile.sasa hapo nani kwenye vifaa dhaifu ndugu ?.

Syria juzi tuliona Mturuki akingia mzima mzima kuwatetea waasi wanaopingana na Assad, ila kilichotokea mwisho wa siku ni aibu maana pamoja na ubora wake wa siraha wamerudisha nyuma.sehemu kubwa ya jimbo la Idlib imechukuliwa na Assad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vitu ambavyo wao kama invertors wanavijua hadi nyuma yake.

Embu nikumbushe ni lini vita ilitokea ikahusisha America na Russia pengine sina kumbukumbu
Ukisoma kwa umakini, utaelewa Jambo moja kwamba watumiaji wa silaha hizi ndio ambao hukumbana na mikono mizito ya Marekani hivyo silaha hizo huprove failure kwenye effectiveness yake.
Ushauri wa bure! Unaohisi Wana akili Sana hawakuzuii wewe kufikiria nje ya box. Egypt alikuwa anaaminika Sana na Soviet Russia lakini aliwapa marekani mig 23 ili waifukunyue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kutokana na mapenzi yako ila ukija kwenye uhalisia wala haipo ivyo, silaha za Warusi zimeendelea kuwa bora mpaka leo hii wala hakuna ubishi kwa ilo

Ukija kwenye tukio la juzi mpaka Dunia yote ikashangaa baada ya kupigwa visima vya mafuta vya Saudia wakati kuna mifumo ya patriot.

Pia tukio lingime ni la kwenye kambi za Marekani ndani ya Iraq, balistic za Iran zimepenya vizuri tu pasipo pingamizi lolote lile.sasa hapo nani kwenye vifaa dhaifu ndugu ?.

Syria juzi tuliona Mturuki akingia mzima mzima kuwatetea waasi wanaopingana na Assad, ila kilichotokea mwisho wa siku ni aibu maana pamoja na ubora wake wa siraha wamerudisha nyuma.sehemu kubwa ya jimbo la Idlib imechukuliwa na Assad

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajichsnganya sehemu moja missile za Iran zilizoshambulia kambi 2 za marekani iranian made si Russian made. Kama vile ilivyo kwa drones zilizoshambulia visima vya alsaudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo mkuu vifaa vya russia vipo imara na vina ubora wa hali ya juu tatizo ni hao watumiaji wengine mbali na russia mwenyewe na ata izo anazowauzia washirika sizani kama ni sawa na anazotumia yeye mwenyewe russia.
Pengine lakini ukifuatilia unagundua japo ni version za kibiashara bado ni dhaifu Sana. Chukua mfano mig 29 yoyote Syria Iraq haikuwahi kushinda kill ya air to air missile toka imetengenezwa lakini hata hivyo imekuwa ikikutana na ndege mfanowe Kam f18, f 16, na f15

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajichsnganya sehemu moja missile za Iran zilizoshambulia kambi 2 za marekani iranian made si Russian made. Kama vile ilivyo kwa drones zilizoshambulia visima vya alsaudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaitaji Russia made nakupa hii ya Serbia mwaka 1999.kwa mara ya kwanza serbia walishangaza dunia kwa kutungua stealh bomber(ndege isiyonekana kwenye Rada) ya Marekani kwa mfumo wa kizamani kabisa aina ya s-125 neva/pachora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushane hivi ni kwanini nchi ikinunua S-400 lazima iwekewe vikwazo na US ikiambatana uhamishaji wa mitambo ya ulinzi ya US eg THAAD, Patriotic,
Mfano ni Turkey ambapo US aliiondoaTurkey kwenye mkataba wa uundaji wa vipuli vya F-35 akidai s400 imesogezwa karbu inaweza dukua na kutambud uhaifu wa F-35 pia kuhamisha kabisa mitambo ya THAAD na Patriotic akidai itadukuliwa! Kwa mambo haya udhaifu wa rushia uko wapi? Kwa taarifa yako Russia ndiye Legendale wa vita ndo maana iliundwaNATO kwa hofu ya russia .
 
Hivi Kama silaha zao zingekuwa imara unadhani Israel wangefanikiwa kujipigia watakavyo katika Syria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushane hivi ni kwanini nchi ikinunua S-400 lazima iwekewe vikwazo na US ikiambatana uhamishaji wa mitambo ya ulinzi ya US eg THAAD, Patriotic,
Mfano ni Turkey ambapo US aliiondoaTurkey kwenye mkataba wa uundaji wa vipuli vya F-35 akidai s400 imesogezwa karbu inaweza dukua na kutambud uhaifu wa F-35 pia kuhamisha kabisa mitambo ya THAAD na Patriotic akidai itadukuliwa! Kwa mambo haya udhaifu wa rushia uko wapi? Kwa taarifa yako Russia ndiye Legendale wa vita ndo maana iliundwaNATO kwa hofu ya russia .
Conventional war fare Russia no too weak.. angalia kuhusu India anapigika Mara kwa Mara shida nini. Silaha za kirusi zinashindwa kupigana dhidi ya f 16 ya kizamani 80 s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrashia ni hatari Sema hana maneno mingi ndio maana ikaundwa nato ile zone yooote wanamuogopa yeye Marekani yupo vizur kweny propaganda za uongo ndio maana hadi wew umemuamini yupo poa lakn ni muongo sana vita yoyote aliyo ingiza mkono mrusi Marekani alikipata cha moto ukianza Vietnam War, cold War na vita za Mashariki ya Kati Sema Marekani anatudanganya et Rambo sijui alichakaza kambi nzima uongo mtupu chukulia tu mashine gun rahis ya mrusi ak 47 na m16 au m4 au m60 za mmarekani utajua umahili wa ak 47 ndio imezagaa mnoo na ni rifle ya kitambo mnooo achilia mbali missile na war teknojia aliyonayo kama s 400
 
Back
Top Bottom