USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?
Marekani Ina idadi kubwa ya watu magerezani kuliko nchi yeyote duniani,
Kodi za manyanyaso Ni nyingi[emoji2][emoji2],yaani hata ufungue genge la kuuza nyanya ,pilipili hoho lazima ulipie mapato,,,Kama wewe tusene Ni bilionea inatakiwa utoe sehemu ya pesa kwa jamii na ukifa bill kutoa,serikali inataifisha Mali,
Hakunaga ujirani mwema,yaani kila mtu kivyake,,watu Wana stress wanajinyonga ovyo na mtu akiboeka tu,anachukua bunduki na kwenda kuchapa risasi watu,