Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

Wanaoandika hayo ni Mashabiki tu.
 
Simple calculation

Hii vita Marekani na Israel wameshashindwa

1. Regime change imeshindikana
2. Military base za Marekani Middle East zimeharibiwa vibaya mno
3. Gulf Countries watajitenga na Marekani maana Hana msaada kwao ( Hili tayari limeanza na wameanza kulalamika)
4. Marekani atashuka kiuchumi sababu anapigwa sehemu nyeti za energy
5. Vita hii ni Allies wasionekana ambao ni China ,Urusi na NK ambao wako na Iran
6. South Africa member wa BRICS anaandaa ushawishi AU kuitwmbua Israel kama Terrorist state
7. Kama asemavyo MALCOM LUMUMBA hii ni vita ya Uchumi na Energy na kwenye hili wote tutembea kwa miguu kama Hali ikiendelea hivi na Strait of Hormuz ikiendelea hivi kwa kupitisha meli za Uchina tu hadi Sasa pipa Moja ni $97 hadi wiki ijayo itakuwa $150 na Iran lengo ni ifike $200 kiufupi target ya Vita hii ni ya Iran kumuondoa USA middle east , China kumshusha USA kiuchumi na Urusi kuwashusha Ulaya kiuchumi
 
Huu uandishi wako wa leo umenikumbusha memba mmoja anaitwa Mathewson kama sikosei. Yeye alishaamua kutumia njia ya kufoka akisema wa Tanzania ukiwaeleza jambo kwa u pole hawasikii Wala hawaelewi.
Hahaa
 
I always thought you are objective. Sasa mambo ya kuitana machogo mara dunya yanatokea wapi tena mwana diplomasia. At first niliona kawaida ila mbona hii siyo style ya diplomats
 
Mkuu changia hoja mbona kama uwezo wako imejaa kwenye Matusi tu kama hujui Geopolitics tulia usome tu ,

Acha kudhalilisha Ukoo wako
Wewe akili huna,ndo maana mtiani mlikuwa mnafeli,sasa mtu kaleta mada lakini records haziko sawa,mtu anakuambia Russia ilivamia Ukraine 2026,haoni hapo kabla ya kuchangia lazima uweke records sawa??
 
Unena ukweli bila ushabiki kinachoilinda ilani ni umoja wao Marekani alifikiri akimuua kiongozi wajuu basi nch itasambaratika hii vita itaishia kwenye mazungumzo
 
Wewe akili huna,ndo maana mtiani mlikuwa mnafeli,sasa mtu kaleta mada lakini records haziko sawa,mtu anakuambia Russia ilivamia Ukraine 2026,haoni hapo kabla ya kuchangia lazima uweke records sawa??
Sasa hiyo si ni minor issue kabisa ni February ndio lakini sio 2026 nini ambacho hukuelewa ? Unapenda kushadadia vitu vidogovidogo kama Kizimkazi
 
Kama hawana huwezi SI ndo ingekuwa
Raisi kumaliza vita
 
kwenye namba 5.
Nilitegemea ungetumia akili kidogo kufanya comparison ya kijiografia kati ya IRAN na USA kulinganisha RUSIA na UKRAINE..
Comparison kivipi,kwamba inashindikana ukiwa Tanzania na kuishambulia Marekani kwa missiles? Hapo ndio ujue Iran sio level ya Marekani maana tumeona Marekani anatuma ndege kutoka kwake directly kwenda kushambulia Iran ambapo Iran hawezi hili.
 
Ilitegemewa kwamba Iran lazima atajibu kwa nguvu tena alisema kabisa atakuwa anapiga kwenye kambi za USA zilizopo kwenye nchi za kiarabu na ilishatokea kwenye ile vita ya siku 12

Sasa Iran anakata moto kadri siku zinavyosogea! Awali alikuwa anarusha drones na makombora yapatayo 500 kila siku, leo anarusha chini ya 20 kwa siku.

Kwa sababu lounchers na maghala ya siraha yanawindwa na Myahudi na kuyalipua kila siku.
Imefika hatua marubani wa USA na Israel wanapiga hadi selfie wakiwa kwenye anga la Iran, aibu sana hii

Itafika hatua hututaona kombora hta moja ikitokea Iran ni suala muda tu
 
Sawa Mzee akivamiwa ukrein sisawa ila Kwa Irani ni sawa huo niuendawazimu na uchawa ulipitiliza
 
USA wamesema itawachukua 4-6 weeks kukamilisha objectives zao. Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu alitegemea hii vita iishe ndani ya wiki.
Na hadi sasa mwanga wa kukamilisha objectives zao unaonekana pa kubwa sana.
 

Vita bado mbichi kusema Marekani ammeshindwa ni mapema Sana.

Kwa ninavyoona jinsi Amerika alivyopania. Sioni kama atashindwa. Atatumia Kila mbinu kubadilisha utawala hapo Iran.

Watu Aina ya Trump sio watu WA kukubali kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…