Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

Hakika
 
View attachment 3609711

Hizi ni sawa na Trillion 700-800 za Kitanzania.....

THE FINANCIAL TIMES
​
Dah mkuu uliona mbali sana, mwisho wa siku Iran kamaliza vita akiwa better politically, economically na diplomatically kuliko kabla ya vita. This is a tactical loss kwa USA maana sio kwa concession hizi.
 
Andiko lililooona mbalii, uliyotabiri yametokeaa kwa kiwango kikubwaa
 
Dah mkuu uliona mbali sana, mwisho wa siku Iran kamaliza vita akiwa better politically, economically na diplomatically kuliko kabla ya vita. This is a tactical loss kwa USA maana sio kwa concession hizi.
This is not, a tactical loss: This is a strategic defeat.

Thou things will get worse before they trully get better.

The Anglo-Zionist Empire is perfidious as it is murderous.

This peace is too fragile, and it's mainly created for optics and bidding themselves time.
=============================================================================

If there's a language the Israelis and Whites only understand is that of Carnage and Submission.

The war will truly end when, either Iran is totally obliterated or Iran is splintered into thousand pieces

==================================================================================

Either way, be as it may, Americans and Israelis have no magic wand that can reverse the ill-gotten fortunes. Iran's Juggernaut keeps on rolling, and no impediment seems to slow down its speed.
=====================================================================================

KABLA HAIJAPATIKANA AMANI, litatokea jambo la kutisha aidha Marekani, Israel, Nchi za kiarabu na Iran ambalo litatikisa dunia na kuamua kwamba amani ya kudumu iwepo au kuna upande utalazimishwa upokee kupigo na maumivu na kulazimishwa kushindwa.
​
 
KABLA HAIJAPATIKANA AMANI, litatokea jambo la kutisha aidha Marekani, Israel, Nchi za kiarabu na Iran ambalo litatikisa dunia na kuamua kwamba amani ya kudumu iwepo au kuna upande utalazimishwa upokee kupigo na maumivu na kulazimishwa kushindwa
Na hili ndio Israel wanataka, watatengeneza zengwe tu ili mwisho wa siku hii vita iishe kwa Iran kupigwa hata ikiwezekana kwa nukes ila sio kuona USA inamaliza vita hii mezani.
 
Baada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani

Isingekuwa kiburi Cha Ayatollah Leo wasingepata hasara kubwa namna hiyo
Niambie ni sharti gani la marekani lililo kubaliwa na Iran?
 
Baada ya uongozi mzima wa Ayatollah kuisha Iran ndo wanakubali masharti ya Marekani

Isingekuwa kiburi Cha Ayatollah Leo wasingepata hasara kubwa namna hiyo
Vipengele vya makubaliano vinaonesha Iran ndiye aliyempa masharti Marekani.
 
Tell us more MALCOM LUMUMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…