Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,118
Kwani hapa Bongoland watu weusi ndo wanao miliki uchumi? Mandella alikuwa kiongozi mzuri ni mpumbavu pekee ndo hawezi tambua umuhimu wa Mandella kule SA.Kuna mzulu nilikutana nae Chuo alisema hi kauli, #Mandela sold us akendelea kusema kwamba the one who control means ya Uchumi wa nchi ndiye anayecontrol hata Uongozi wa nchi.
Hata Tanzania Wahindi na waarabu ndo wanao miliki uchumi,weusi wamebaki kushabikia mpira wa Yanga na Simba,kuwaza ngono nk.Utachagua moja; uwaache wazungu kwenye miundombinu, ajira, madini, kilimo, ulinzi, afya na huduma nyingine za jamii. Au ufukuze wazungu wote uwanyanganye mali zao...
Binafsi huwa naona kitendo Cha SA kuchelewa kupata uhuru,kilitoa funzo kwao,kwa kuangalia mataifa yaliyo wahi pata uhuru nini kinaendelea.Nadhani hapa ndo maamuzi magumu na yenye busara yalimfanya Mandella kuona Kuna baadhi ya vitu waafrika hatuwezi.Km Nyerere tu, akipewa sifa huwezi jua kua ilifika hatua nchi ilimshinda, hali ikawa mbaya.
Harakati zenyewe za uhuru kafanya kukalibisha.
Ila sasa, kila kitu utasikia nyerere. Unafiki mwingi sana
Nelson Mandela kama binadamu mwingine yoyote yule ana mazuri yake lakini pia ana mabaya yake. Mojawapo ya mazuri yake ni kwamba amefanikisha suala la Co-habitation Kati ya watu Weusi na watu Weupe nchini Afrika ya KusiniSifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed
Anasifiwa kwa lipi wakati hata baada ya uhuru Makaburu wachache waliendelea na wanaendelea kuimiliki ardhi asilimia 80 yenye rotuba ya kulima na madini
Bungeni, jeshini, taasisi za serikali kuna Makaburu wabaguzi wengi sana wanaoamua mustakabali wa taifa
Na demokrasia imara zaidi barani AfricaNelson Mandela kama binadamu mwingine yoyote yule ana mazuri yake lakini pia ana mabaya yake. Mojawapo ya mazuri yake ni kwamba amefanikisha suala la Co-habitation Kati ya watu Weusi na watu Weupe nchini Afrika ya Kusini
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa watu Weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri, endapo kama tungewajumuisha wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."Binafsi huwa naona kitendo Cha SA kuchelewa kupata uhuru,kilitoa funzo kwao,kwa kuangalia mataifa yaliyo wahi pata uhuru nini kinaendelea.Nadhani hapa ndo maamuzi magumu na yenye busara yalimfanya Mandella kuona Kuna baadhi ya vitu waafrika hatuwezi.
Kivipi waakati wazungu ambao wapo asilimia 8 wanaendelea kumiliki ardhi asilimia 80Nelson Mandela kama binadamu mwingine yoyote yule ana mazuri yake lakini pia ana mabaya yake. Mojawapo ya mazuri yake ni kwamba amefanikisha suala la Co-habitation Kati ya watu Weusi na watu Weupe nchini Afrika ya Kusini
jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazunguMandela alikuwa sahihi 100% kuwaacha makaburu. Angewaachia hao wazulu Afrika kusini ingekuwa kama Zimbabwe. Hata hapa kwetu kulikuwa na maamuzi ya hovyo sana kuwanyang'anya watu hasa weupe mali zao wakati wa awamu ya kwanza. Matokeo yake ni nchi kurudi nyuma sana.
Wazungu (Whites) na watu Weusi (Blacks) wote hadi leo hii wanaishi pamoja nchini Afrika ya Kusini. Hakuna watu waliofukuzwa kutoka ktk nchi hiyo hata baada ya kuanguka kwa utawala wa Wazungu wachache/MakaburuKivipi waakati wazungu ambao wapo asilimia 8 wanaendelea kumiliki ardhi asilimia 80
jaribu tu kuwaza ingekuwaje hapa Tanzania karibu kila sehemu unayotafuta shamba tayari inamilikiwa na wazungu wachache huku sisi wengi wa asili hatuna ardhiWazungu (Whites) na watu Weusi (Blacks) wote hadi leo hii wanaishi nchini Afrika ya Kusini. Hakuna watu waliofukuzwa kutoka ktk nchi hiyo hata baada ya kuanguka kwa utawala wa Wazungu wachache/Makaburu