KWANINI MAMBA HANA NGUVU ZA MIGUU

KWANINI MAMBA HANA NGUVU ZA MIGUU

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,515
Reaction score
2,878
Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba.

hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama kenge wake wanawahi wanamletea kiti, kweli hapa Duniani Uzee na Maradhi ni kitu kibaya sana. Akili inataka ila mwili ndo umegoma.

Sijui shida itakuwa ni nini? moyo hauna nguvu, au Figo au Mfumo wa neva ata sijui anahitaji maombi.
 
Mamba alifanyiwa Operation ya pingili za mgongo mwanzoni mwa mwaka huu ,ilitakiwa apumzike kwanza ili recovery itake place.
 
Back
Top Bottom