Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

^Jino refu kama mpini wa jembe^

Kweli ngoja 2020 uishe tu maana ulikuwa mwaka wa chai [emoji478]
 
Kama ni hvyo kwa nini kuku ana uwezo wa kulivunja yai lakini yai halina uwezo wa kumvunja kuku
Sema yai huwa lina huruma sana since ndani yake kuna kuku mwingine -- so linashindwa hasa limkabili yupi, yule wa ndani au huyu wa nje; halafu pia ni strategem kwa upande wa yai sababu, hebu fikiria tu, hivi nani atalilalia yai hadi lianguke (liangulike) kama likimzingua kuku, considering siku hizi Wachina hawa jamani wamepandisha bei za incubators maradufu kwa sababu ya janga la korona!???
 
Hii nakubaliana nayo wanyama hutumia ukubwa wa pembe zao, wengine meno, na hata wengine sauti na attitude zao ndio msingi mkuu mfano honey burger.

Imagine simba angekuwa na ka sauti kama ka panya unafikir amgekuwa king of the jungle?
 
Hivi kwanini walimwita kiboko "kiboko" walikuwa wana maana gani?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
The skin of hippos ni mjeledi (^kiboko^) bomba na kiboko sana. Unaambiwa uchane wa just one inch unaweza kutausha bulldozer iliyozama matopeni, bila kuonesha any sign ya tension ama stress ya kukatika.
 
Mamba humtegemea kiboko sababu ya chakula pamoja na ulinzi wa watoto wake.Mavi ya kiboko huwa ni chakula kizur cha samaki wawapo majini,nafasi hiyo huitumia mamba kushika samaki kwa ajili ya kitoweo.
 
Bado hujapatia jibu lenyewe
 
Mamba humtegemea kiboko sababu ya chakula pamoja na ulinzi wa watoto wake.Mavi ya kiboko huwa ni chakula kizur cha samaki wawapo majini,nafasi hiyo huitumia mamba kushika samaki kwa ajili ya kitoweo.

Nilidhani 2020 umeisha, kumbe wengine wangali huko bado!???
 
So bado msimamo wako ni kwamba meno hutumiwa na wanyama kwa ajili ya vitisho?
Mkuu hii inaweza kuwa fact, manake hata hapa home nina limbwa aina ya boerboel lina bonge la domo yaan hata mbwa wengine wa mtaa wakiliona tu mkia ndani.
 
Wanaishi kwa kuheshimiana ili Maisha yaendelee,ingawa Kuna muda bw. Mamba anazinguaga na huwa anapatiwa anachostahili kutoka kwa bw. Kiboko kwa mapuuza au kukengeuka kwa makubaliano ya kuishi mazingira yao....[emoji41][emoji41]
 
Mkuu hii inaweza kuwa fact, manake hata hapa home nina limbwa aina ya boerboel lina bonge la domo yaan hata mbwa wengine wa mtaa wakiliona tu mkia ndani.
Ana mdomo mkubwa halafu umbo lake kama chihuahua?
 
Hoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
Kifupi Mamba humuogopa Kiboko...kwani Kiboko akifa mamba huwa anamla vizuri tu,na Kiboko hawanyi fujo lakini akijaribu kumgusa Kiboko aliye hai hata mtoto....humo ndani hapatakalika
 
Sasa Kama wote wanategemea bwawa moja watazinguanaje? Inabidi wavungiane tu ingawa wakati mwingine mamba anapita na vitoto vya kiboko!

Ila Ni nadra Sana
Wana symbiosis kiboko anakunya kwenye maji hivo samaki wanazaliana kwa wingi mamba anapata mlo,na mamba zinamsaidia kiboko kwenye ulinzi

Mamba zikiwa nyingi Ni ngumu Sana Simba kuwinda kiboko kwenye hiyo territory
 
Kama umeamua kunipinga sawa
Kwa sababu hakuna jibu hapo. The answer lies in the ^confidence^ of hippos. Kule kutokuwa waoga ndiko kunawapa kuogopeka na mnyama mamba. Even simba, ukistand your ground bila hofu, chances za survival ni kubwa kwa sababu ya kuogopeka. Hii ni silika ya almost kila kiumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…