Uzi uishie hapa. Jibu ni timing. Halafu stability na maneuverability ya kiboko majini ni kubwa kivita na kimashambulizi kuliko mamba, ndiyo sababu mamba hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Japo mamba anadai kuwa kiboko ya almost viumbe wote wanaothubutu kuyasogelea maji, bado hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Mamba anaweza tu kuwa kiboko ya kiboko mjeledi, lakini hafui dafu kwa kiboko kiboko mnyama kwa sababu kiboko mnyama ndiye kiboko kweli na pia ni kiboko wa wanyama wengi wa majini akiwemo mamba ambaye hujidai kuwa kiboko wa kiboko ingawa kiboko anajua kuwa anaweza kuzunguka tuu kwa maneno lakini ukweli ni kwamba kiboko ndiye hasa kiboko wa viboko vyote.