Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

Mamba anakula watoto wa kiboko,endapo wamebaki wenyewe bila wakubwa. Na kiboko mkubwa akiona mamba anawawinda au kuwakaribia huwa anatifua tifua maji na kuwa tope mamba ukimbilia mbali Maana anajua kinachofata ni dhoruba ya dunia.
 
Hii ni scientific fact au mawazo yako?

Great white shark hukua mpaka kufikia futi 28 ana psi kubwa na umbo kubwa na ni apex predator ila hua anauawa na orca whale ambaye hata hali nyama. Kwake humuua great white for fun.
Mkuu Orcas wanakula nyama vizuri kabisa...check your facts vizuri.
 
mamba anakula watoto wa kiboko au mzoga wa kiboko. Kiboko ana nguvu kuliko mamba hivyo anajua kwamba akijaribu imekula kwake. Kuna wanyama wanaoheshimiana mfano Simba anamheshimu tembo, anaweza kumshambulia mtoto wa tembo aliyepotea lakini hawezi kumshambulia mtoto wa tembo na wazazi wa tembo wakiwepo.
Mkuu simba lazima amuogope tembo, balaa la tembo akipoteza mtoto si mchezo.
 
Hii ni scientific fact au mawazo yako?

Great white shark hukua mpaka kufikia futi 28 ana psi kubwa na umbo kubwa na ni apex predator ila hua anauawa na orca whale ambaye hata hali nyama. Kwake humuua great white for fun.


Ni scientific fact mkuu.
 
Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
Kama mamba alivyo huwa hapigi kelele yeye ni kimyakimya ndivyo kiboko alivyo hapigi kelele yeye muda wote amenuna, hata ukimsalimu hajibu, mtu wa aina hiyo usimfanyie fujo achana naye.
 
So bado msimamo wako ni kwamba meno hutumiwa na wanyama kwa ajili ya vitisho?


Mkuu, ni scientific proved fact kwamba kuonyesha meno kwa wanyama "Canines" ni njia moja ya kumuogopesha mwenziwe.

Wanyama madume, wenye Canines wanapotaka kupambana katika ama kuhodhi territory au kutafuta majike kwanza hukenua midomo na kuunguruma na wakati huohuo huwa wanaangaliana hizo Canines na ku detect ukubwa na hapo hupima uwezo wake dhidi ya huyo mpinzani wake kwa kuona tu ukubwa wa hizo canines.

Nilipata kuangalia Documentary moja miaka mingi (10yrs or so) juu ya maisha ya Simba na huyo mtaalamu wa simba aliongelea jambo hilo.

Kwa upande wa wanyama (the non canines) hapo kwakweli sina hakika.
 
Back
Top Bottom