Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
^Jino refu kama mpini wa jembe^Kwenye mto uliojaa mamba na viboko,ilitokea attempt ya mamba kumla mtoto wa kiboko akaishia kumjeruhi vibaya.Walichofanya viboko kulipiza kisasi maji ya mto yaligeuka damu.Mamba mmoja alipigwa jino la maana akawa vipande.Jino la kiboko ni refu kama mpini wa jembe

Sema yai huwa lina huruma sana since ndani yake kuna kuku mwingine -- so linashindwa hasa limkabili yupi, yule wa ndani au huyu wa nje; halafu pia ni strategem kwa upande wa yai sababu, hebu fikiria tu, hivi nani atalilalia yai hadi lianguke (liangulike) kama likimzingua kuku, considering siku hizi Wachina hawa jamani wamepandisha bei za incubators maradufu kwa sababu ya janga la korona!???Kama ni hvyo kwa nini kuku ana uwezo wa kulivunja yai lakini yai halina uwezo wa kumvunja kuku
Hii nakubaliana nayo wanyama hutumia ukubwa wa pembe zao, wengine meno, na hata wengine sauti na attitude zao ndio msingi mkuu mfano honey burger.Mkuu, ni scientific proved fact kwamba kuonyesha meno kwa wanyama "Canines" ni njia moja ya kumuogopesha mwenziwe.
Wanyama madume, wenye Canines wanapotaka kupambana katika ama kuhodhi territory au kutafuta majike kwanza hukenua midomo na kuunguruma na wakati huohuo huwa wanaangaliana hizo Canines na ku detect ukubwa na hapo hupima uwezo wake dhidi ya huyo mpinzani wake kwa kuona tu ukubwa wa hizo canines.
Nilipata kuangalia Documentary moja miaka mingi (10yrs or so) juu ya maisha ya Simba na huyo mtaalamu wa simba aliongelea jambo hilo.
Kwa upande wa wanyama (the non canines) hapo kwakweli sina hakika.
The skin of hippos ni mjeledi (^kiboko^) bomba na kiboko sana. Unaambiwa uchane wa just one inch unaweza kutausha bulldozer iliyozama matopeni, bila kuonesha any sign ya tension ama stress ya kukatika.Hivi kwanini walimwita kiboko "kiboko" walikuwa wana maana gani?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Bado hujapatia jibu lenyeweIn animal kingdoms ukubwa ndiyo kila kitu unampa mnyama advantage ya zaidi ya 50 percent meno au kucha au sumu vinamalizia 50 nyingine. Yaani ni kwamba nilivyokutajia tembo na ukaona hana meno yet ukubwa unambeba ilitakiwa ujue kwamba meno siyo sheria.
Mfano King Cobra anaweza dominate na kula nyoka wengine kwa ajili ya ukubwa wake siyo fangs wala venom.
Exception ni kama honeybadger ana umbo dogo lakini umbo lake na kucha na meno yake vinatosha kuward off potential predators.
Kwa kesi yetu hapa juu ya kiboko, kinachombeba ni ukubwa ndiyo maana kiboko mtoto hushambuliwa na mamba as hana ukubwa wa kumfanya awe threat kwa mamba.
Mamba humtegemea kiboko sababu ya chakula pamoja na ulinzi wa watoto wake.Mavi ya kiboko huwa ni chakula kizur cha samaki wawapo majini,nafasi hiyo huitumia mamba kushika samaki kwa ajili ya kitoweo.
Mkuu hii inaweza kuwa fact, manake hata hapa home nina limbwa aina ya boerboel lina bonge la domo yaan hata mbwa wengine wa mtaa wakiliona tu mkia ndani.So bado msimamo wako ni kwamba meno hutumiwa na wanyama kwa ajili ya vitisho?


Ana mdomo mkubwa halafu umbo lake kama chihuahua?Mkuu hii inaweza kuwa fact, manake hata hapa home nina limbwa aina ya boerboel lina bonge la domo yaan hata mbwa wengine wa mtaa wakiliona tu mkia ndani.
ataondolewa majini na mapepo yatatokaKiboko ni mbabe mamba akicheza ataondolewa majini!
Kifupi Mamba humuogopa Kiboko...kwani Kiboko akifa mamba huwa anamla vizuri tu,na Kiboko hawanyi fujo lakini akijaribu kumgusa Kiboko aliye hai hata mtoto....humo ndani hapatakalikaHoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
Kiboko ndo Kiboko ya Mamba.....Kwahiyo kiboko ndo kiboko au mamba ndo kiboko?
Ahsante kwa kumgundua huyo mpuuzi.Bro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Ohoooooo ushaharibuBro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Kama umeamua kunipinga sawaBado hujapatia jibu lenyewe
Nambie Google ,mjuaji wa kila comment ,unae fit kila mada . happy your own year 2021Nilidhani 2020 umeisha, kumbe wengine wangali huko bado!???
Kwa sababu hakuna jibu hapo. The answer lies in the ^confidence^ of hippos. Kule kutokuwa waoga ndiko kunawapa kuogopeka na mnyama mamba. Even simba, ukistand your ground bila hofu, chances za survival ni kubwa kwa sababu ya kuogopeka. Hii ni silika ya almost kila kiumbe.Kama umeamua kunipinga sawa