Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

IMG_7875.png
 
Hoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
Mamba hula kiboko. Ikitokea kiboko mtoto ameachwa na wakubwa zake kuna chansi kubwa ya kushambuliwa na mamba.

Pia kiboko mwenye majeraha, anayeelekea umauti au mzoga tayari naye huweza kuliwa na mamba.

Ingawa kiboko anakula nyasi ila ana psi kubwa, meno na mdomo unaotanuka enough kumjeruhi mamba.
 
Hoja yako ni irrelevant mkuu,swali La mtoa hoja lina maana,simba kunawakati hula tembo lakini kwamwe huwezi kuta mamba akila kiboko kwanini?
mamba anakula watoto wa kiboko au mzoga wa kiboko. Kiboko ana nguvu kuliko mamba hivyo anajua kwamba akijaribu imekula kwake. Kuna wanyama wanaoheshimiana mfano Simba anamheshimu tembo, anaweza kumshambulia mtoto wa tembo aliyepotea lakini hawezi kumshambulia mtoto wa tembo na wazazi wa tembo wakiwepo.
 
WANYAMA WENGI MARA NYINGI HUTISHIANA KWA UKUBWA WA MENO YAO MARA KIBOKO AMWONAPO MAMBA ANAMFUATA FUATA HUFUNGUA MDOMO WAKE NA KUONYESHA UKUBWA WAJINO WANYAMA WENGI HUFAHAMU SANA YA KUWA MENO NDIO KIUMIO NA JINSI LINAVYOKUWA KUBWA NDIO HATARI ZAIDI
 
Mamba hula kiboko. Ikitokea kiboko mtoto ameachwa na wakubwa zake kuna chansi kubwa ya kushambuliwa na mamba.

Pia kiboko mwenye majeraha, anayeelekea umauti au mzoga tayari naye huweza kuliwa na mamba.

Ingawa kiboko anakula nyasi ila ana psi kubwa, meno na mdomo unaotanuka enough kumjeruhi mamba.
Uzi uishie hapa. Jibu ni timing. Halafu stability na maneuverability ya kiboko majini ni kubwa kivita na kimashambulizi kuliko mamba, ndiyo sababu mamba hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Japo mamba anadai kuwa kiboko ya almost viumbe wote wanaothubutu kuyasogelea maji, bado hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Mamba anaweza tu kuwa kiboko ya kiboko mjeledi, lakini hafui dafu kwa kiboko kiboko mnyama kwa sababu kiboko mnyama ndiye kiboko kweli na pia ni kiboko wa wanyama wengi wa majini akiwemo mamba ambaye hujidai kuwa kiboko wa kiboko ingawa kiboko anajua kuwa anaweza kuzunguka tuu kwa maneno lakini ukweli ni kwamba kiboko ndiye hasa kiboko wa viboko vyote.
 
Back
Top Bottom