Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

Huwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
Mamba ujanja wake mkubwa wa kuua ni kwa kuzamisha ndani ya maji windo lake na kufa kwa kukosa hewa. Inapofika kwa kiboko anakwama kwani kiboko naye ana uwezo wa kuzama ndani ya maji kwa muda mrefu bila kufa. Hivyo mapigano yataendelea hata ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
 
THUBUTUUU!!

Simba ni wanyama wasiopenda windo lenye usumbufu kama nyegere.

Ni ngumu sana simba kumuua nyegere!

Kale kajamaa ni kakali na kana ujasiri wa kupambana bila kurudi nyuma. Simba wengi huwa wanakaacha. (labda huenda pia kwa sababu wanakaona ni kaduchu hakana minofu ya kushibisha)

Mnyama pekee mwenye uwezo wa kumuua nyegere ni chui maana chui ana kasi sana na anajua kukamata wanyama haraka bila kusita sita. He is sharp.
^Ujasiri^ ndiyo jibu sasa
 
Wengi wamechangia lakini jibu hasa wameshindwa kulitoa. Jibu ni kuwa mamba huua windo lake kwa kulizamisha majini na kufa kwa kukosa hewa. Pamoja na kuwa mamba ana meno makali na yanayojeruhi sana lakini kinachofanya aue windo lake kwa urahisi ni kwa sababu analizamisha kwenye maji na kufa kwa kukosa hewa. Na kiboko ni mkubwa na ana uwezo wa kukaa majini kwa muda mrefu bila kutoka kuvuta hewa. Hivyo kama mamba atajaribu kumshambulia mapigano yataendelea mpaka ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekeno wa kushinda ni mkubwa.
Yaa ni kweli na kingine kiboko nae ana mdomo mkubwa anauwezo wa kung'ata mamba katikati ya mgongo na tumbo ndio maana hata mamba nae kwa kiboko anasalimu amri
 
A male hippo can weigh up to 3,300–4,000 pounds, females up to 3,300 pounds. ... Nile crocodiles have a bite force of 5000 psi but their mouths are smaller than a hippo's. Any adult hippo can bite a crocodile in half. So, by power and size, hippos are victorious.
 
Wengi wamechangia lakini jibu hasa wameshindwa kulitoa. Jibu ni kuwa mamba huua windo lake kwa kulizamisha majini na kufa kwa kukosa hewa. Pamoja na kuwa mamba ana meno makali na yanayojeruhi sana lakini kinachofanya aue windo lake kwa urahisi ni kwa sababu analizamisha kwenye maji na kufa kwa kukosa hewa. Na kiboko ni mkubwa na ana uwezo wa kukaa majini kwa muda mrefu bila kutoka kuvuta hewa. Hivyo kama mamba atajaribu kumshambulia mapigano yataendelea mpaka ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekeno wa kushinda ni mkubwa.
Ukweli pia ni kwamba wanyama wote wakubwa, regardless ni predator ama la, ni tishio kwa mamba. Sema tu uoga wa mnyama anayewindwa halafu na taiming' ya mamba ndiyo silaha. Sasa Mr Hippo yeye ni confident all the time. Anaweza kuwa katikati ya mamba wengi, lakini bado akaekti very composed as if mkurugenzi kaalikwa kwenye mkutano wa kupongezwa kwa mafanikio aliyoyaleteleza kuhalmashauri. ^CONFIDENCE^ ndiyo key .
 
Mamba ujanja wake mkubwa wa kuua ni kwa kuzamisha ndani ya maji windo lake na kufa kwa kukosa hewa. Inapofika kwa kiboko anakwama kwani kiboko naye ana uwezo wa kuzama ndani ya maji kwa muda mrefu bila kufa. Hivyo mapigano yataendelea hata ndani ya maji na kwa ukubwa wa kiboko uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Umepatia 92.31%
 
A male hippo can weigh up to 3,300–4,000 pounds, females up to 3,300 pounds. ... Nile crocodiles have a bite force of 5000 psi but their mouths are smaller than a hippo's. Any adult hippo can bite a crocodile in half. So, by power and size, hippos are victorious.
Hii ndiyo sayansi tunataka sasa. Eti nasema uongo, ndugu zangu!???
 
style mojawapo ya mamba kama peredator ni kumkaba adui yake shingon tan lazima ai taget shingo sasa kiboka ana sakamferens kubwa ta shingo mamb hawez kuibana itakua ajabu akijaribu anaweza kufa mana kiboko akimuotea akambana na lile limdomo anamvunja vipande viwili
 
Back
Top Bottom