Kwanini mamba hamfanyii fujo Kiboko?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa ni comedian mzuri.
Happy New year
 
In animal kingdoms ukubwa ndiyo kila kitu unampa mnyama advantage ya zaidi ya 50 percent meno au kucha au sumu vinamalizia 50 nyingine. Yaani ni kwamba nilivyokutajia tembo na ukaona hana meno yet ukubwa unambeba ilitakiwa ujue kwamba meno siyo sheria.

Mfano King Cobra anaweza dominate na kula nyoka wengine kwa ajili ya ukubwa wake siyo fangs wala venom.

Exception ni kama honeybadger ana umbo dogo lakini umbo lake na kucha na meno yake vinatosha kuward off potential predators.

Kwa kesi yetu hapa juu ya kiboko, kinachombeba ni ukubwa ndiyo maana kiboko mtoto hushambuliwa na mamba as hana ukubwa wa kumfanya awe threat kwa mamba.
 
Mfano King Cobra anaweza dominate na kula nyoka wengine kwa ajili ya ukubwa wake siyo fangs wala venom.

Exception ni kama honeybadger ana umbo dogo lakini umbo lake na kucha na meno yake vinatosha kuward off potential predators.


Sasa hapa huoni unajipinga wewe mwenyewe??!!.

King cobra ni mdogo kuliko Anaconda lakini King cobra anammeza Anaconda. Sasa ukubwa wa Anaconda umemsaidia nini mbele ya sumu nusu lita ya King cobra??, Honey Badger naye mbona Simba, sometimes, wanamkimbia licha ya udogo wake?!!

Juu ya yote meno nayo ni factor to reckon with coming in the issue of animal formidability.
 
Umesema najipinga ila chini umekubaliana na mimi kwamba meno siyo kila kitu na ndicho nilichokua namaanisha hapa.

Pia king cobra hawezi mla anaconda in fact hawezi mmeza hata chatu. Anaweza kula fellow king cobra
 
SIMBa wanamkimbia honeyb just for fun simba aliyekuwa stressed anakafinya

Ukubwa kilakitu angalia wanyama wote wala nyama ubabe wa mmoja kwa mwengine ni mwili duma boya kwa leopard Leo boya kwa simba simba kwa tiger near the same
 
Kwa hiyo kwa maelezo haya kinachomzuia mamba kumla kiboko ni uoga wa kumuogopa kiboko aliyekamilika kwa sababu ya uwezo wake wa nguvu na hakuna kingine
 
Kwa sababu mamba na ujanja wake wote ule...kwa kiboko yeye ni shoga tu sawa na mwanamme wa Dar akikutana na rijali la Mkoani
Teh teh teh 🀣🀣🀣..dah!..hii mpya ya huu mwaka haaa haaa haaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ....ila wabongo bhana...teh teh teh..
 

Kwenye mto uliojaa mamba na viboko,ilitokea attempt ya mamba kumla mtoto wa kiboko akaishia kumjeruhi vibaya.Walichofanya viboko kulipiza kisasi maji ya mto yaligeuka damu.Mamba mmoja alipigwa jino la maana akawa vipande.Jino la kiboko ni refu kama mpini wa jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…