Umejuaje kama anatumia simu?Bro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Umejuaje kama anatumia simu?Bro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Smartphone iliyomeguka buttonBro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?

Hii ni scientific fact au mawazo yako?WANYAMA WENGI MARA NYINGI HUTISHIANA KWA UKUBWA WA MENO YAO MARA KIBOKO AMWONAPO MAMBA ANAMFUATA FUATA HUFUNGUA MDOMO WAKE NA KUONYESHA UKUBWA WAJINO WANYAMA WENGI HUFAHAMU SANA YA KUWA MENO NDIO KIUMIO NA JINSI LINAVYOKUWA KUBWA NDIO HATARI ZAIDI
Yaani nimecheka kwa sauti ,daaaa! Wewe mtu wewe!!Bro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
Vipi kuhusu kiboko mzee yeye huwa hawi na wajukuu/watoto zake?Sababu ni hii,Mamba anakula nyama lakini kiboko anakula nyasi kwahiyo hakuna kugombea chakula wanakaa pamoja lakini interest zao zipo tofauti,...kiboko ni mbabe kutokana na umbo lake kubwa na meno yake kwahiyo kuamsha kwa mamba ni easy tu, mamba anao uwezo wa kula kiboko lakini kiboko mzee au mtoto japo sio rahisi kumla mtoto wa kiboko maana mda wote anakua na wazazi wake.
Kiboko kiboko🐸🐸🐸🐸🐸Kwani kati ya mamba na kiboko nani kiboko?
HahahahBro, herufi "Z" inafanya kazi kwenye simu yako?
bac hakika Kiboko ndio kiboko wa vibokoUzi uishie hapa. Jibu ni timing. Halafu stability na maneuverability ya kiboko majini ni kubwa kivita na kimashambulizi kuliko mamba, ndiyo sababu mamba hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Japo mamba anadai kuwa kiboko ya almost viumbe wote wanaothubutu kuyasogelea maji, bado hawezi kuwa kiboko ya kiboko. Mamba anaweza tu kuwa kiboko ya kiboko mjeledi, lakini hafui dafu kwa kiboko kiboko mnyama kwa sababu kiboko mnyama ndiye kiboko kweli na pia ni kiboko wa wanyama wengi wa majini akiwemo mamba ambaye hujidai kuwa kiboko wa kiboko ingawa kiboko anajua kuwa anaweza kuzunguka tuu kwa maneno lakini ukweli ni kwamba kiboko ndiye hasa kiboko wa viboko vyote.
WoteKwani kati ya mamba na kiboko nani kiboko?
Kwa sababu mamba na ujanja wake wote ule...kwa kiboko yeye ni shoga tu sawa na mwanamme wa Dar akikutana na rijali la MkoaniHuwa najiuliza sana, Mamba anakula nyama na Kiboko anakula nyasi, lakini wanaishi sehemu moja. Kwa tabia ya Mamba anakula mnyama yoyote anayekatiza mbele yake. Sasa mbona hamtafuni Kiboko na yuko nae muda mwingi?
Haha duh kweli we kiboko hili swali lako.....Kiboko ni kiboko ya MambaKwani kati ya mamba na kiboko nani kiboko?