Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu
 
Great Thinkes..

Weka picha hapa...
 
Chinchilla mbona ujahoji ni kwanini kwenye ofisi za watendaji wa vijiji na kata hiyo picha rais hakuna?? unaangalia CDM tu, na hiyo ina faidia zipi endapo ikiwekwa ofsini?????
 
Great Thinkers..
Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.
Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.
Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu
na wewe umefikiria kwa ukomavu katika hili? Kaaaz kweli kweli.
 
Hawawezi kuweka zaidi ya picha ya mt. nyerere hapo wewe..hujui nini sasa hapo..wako kikan zaid..
 
Hata mimi ofisi yangu kubwa tu na hakunaga picha ya jk. Hakuna kifungu cha katiba wanachovunja kwa kutotundika picha ya muuza sura
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Chinchilla,
Ofisi za CDM sio ofisi za Serikali mfano Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Katibu Mkuu flani wa wizara au Ofisi ya Waziri. Ile ni ofisi ya Chama cha siasa. Haipo bainded kubandika picha ya kiongozi yeyote wa Serikali au aliyewai kuwa kiongozi wa Serikali.

Ingawa umesema umeiona ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere, binafsi nina muda kidogo sijaenda pale makao Makuu ila nakumbuka picha iliyokuwepo mara ya mwisho nilipoenda pale ni moja tu ya Mzee Mtei tena ipo karibu na ule mlango wa nyumba. So kama wameweka ya Nyerere basi hiyo picha ipo tu kwa bahati mbaya maana si lazima iwepo.
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Pumba! Kwani makao makuu ya ccm kuna picha ya Mwenyekiti wa Chadema? Yule ni Mwenyekiti wa CCM!
 
kuna kipindi alitoa picha rasmi baadae akaikataa eti alipiga akiwa na msongo wa mawazo hivyo sura alikuwa anaonekana kama mjusi kabanwa na mlango..

Ndiyo si ile picha ya mwanzoni kabisa aliyopiga mara baada ya kushinda uchaguzi wa 2005. Picha ya pili aliikubali kwa sababu anaonekana kama 'Beach Boy' flani hivi.

kwa hiyo alipiga akiwa ametoka kupiga mzinga pale jangwani..hahaha
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Samaki samaki pale mlimani city wamejaza picha za watu mashuhuri kibao. Sio ofisini, bar. So na wewe tafuta unazojiskia kuweka ofisini/sebuleni/chooni popote pale picha unazozitaka. Hamna sheria inayokukataza kufanya hivyo.
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Uliona wapi mwizi akatukuzwa?
 
katika maraisi wote wa tanzania ni nyerere tu ndiyo picha yake ilitoka vizuri, wengine wote hazivutii.
 
Mleta mada umetembelea makao makuu ya vyama vingine ikaona wameweka picha ya JK?
Kama hujafanya hivyo ni makosa sana kuleta uzi bila kuwa na ushahidi wa kutosha maana hii siyo tetesi.
 
Back
Top Bottom