Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

niko arusha pia sijaona picha za mtuhumiwa wa ulaghai wa richmond katika ofisi za cdm
 
Mleta mada umetembelea makao makuu ya vyama vingine ikaona wameweka picha ya JK?
Kama hujafanya hivyo ni makosa sana kuleta uzi bila kuwa na ushahidi wa kutosha maana hii siyo tetesi.

kuna picha moja ya jemes mbatia wa nccr mageuzi akiwa ofisi ya chama chake laki kwa nyuma kuna picha ya mzee wa mapodaa..
 
Ni hiari na si lazima. Na wala si sheria kwa hiyo huwezi kuwalaumu.Wanaweza hata wakapamba ofisi kwa picha ya pundamilia badala ya picha ya raisi si dhambi.
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

kwani ni lazima??kama budget hairuhusu wafanyeje?
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Akili zako kama yule Seif Mbunge wa watu 12,000 Zanzibar
 
Kuna bar moja nilikuta picha ya JK wameiweka chooni, tena ile anayobembea Jamaica.
 
picha hiyo unayoisema ipo kwenye WC za ofisi, sasa kama hukwenda chooni utaionaje??
 
picha ya rais haiwezi kuwekwa kwenye ofisi ya wahuni na watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani ya nchi,
 
Back
Top Bottom