Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

Kuonana na LAWFUL PRESIDENT sio LEGITIMATE PRESIDENT. Ishu ya kuweka picha officin its depend on ACCEPTIBILITY YA MTU, tena kwa office kama ya CDM uctegemee bt kwa public bureaucracies and enterprises
ni Lazina coz of NEUTRALITY PRINCIPLE!



mkuu ulipita kwenye mikono ya hayati Samuel Mushi na Rwekaza Mukandala nini? naona PS 110 na PS 220 Unazishusha balaa
 
Itafika kipindi wajukuu zetu watajenga kuta za nyumba zao kwa "posters" zenye picha za marais
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Hivi kwani ni sheria..!? Hata ofisini kwangu hamna picha ya Kikwete.
 
Ni dhambi kubwa kuweka picha ndani kwako ya mtu asiyekuwa na faida kwako na jamii kwa ujumla. Maana mda wote utakuwa unaichukia picha htsika.
 
Baada ya kujadili katiba ya nchi nyiw mnaleta unazi wa uccm na chadema sie tunataka katiba
 
Waweke picha thubutu yao kwani kichapo alicho wapa wamesahau alianza mbowe 2005 chali tena kwa kishindo akaja babu slaa 2010 akaangukia pua hawampendi hao
 
Back
Top Bottom