Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Mimi mwenyewe siwezi kuchanganya imani ambazo zinakinzana. Mimi naamini katika Mungu wa Utatu nitamhusishaje na imani isiyoamini katika Utatu Mtakatifu?
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Anaogopa akisema bwana asifiwe ataonekana mnafiki kama yule boss wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna dini za imani nyingi sana ikiwepo wapagani, ukiamua kutoa salam kwa kuzingatia dini au imani flani, fanya hivyo kwa imani zote kitu ambacho hakiwezekani.

Ingekua amri yangu salam za dini au zenye kuashiria imani flani zisingekuwepo kabisa kwenye hafla za kiserikali, hasa kama tukio halina maudhui ya kiimani.

Hata hivyo hakuapa kulinda salam za kiimani.
ni za muhimu Sana,
 
Kwani Assalamu Alaykum ni salamu ya Waislamu???
 
Inajenga picha kwamba sio mnafiq.

Huyo mama kwanza sio muongo muongo maana kama mnakumbuka alivyosema kipindi kile cha kampeni kwamba hata mkimpgia kura mgombea mwingine lakini wa CCM ndio atakayeshinda. Kwani aliongopa?
Sure huwa anasema ukweli
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Muulize mccm mwenzako usituulize maswali ya kichoko
 
Watanzania karibia wote wanajua Kiswahili na wengi wanajua Kingereza ukilinganisha na Kiarabu, waliopitia madrasa ndio wanajua Kiarabu.Ukitumia lugha ya Kiarabu utaelewaka zaidi na wenzako mliopitia madrasa ila wengine utawaacha gizani.

Asalaam aleikum ni salamu zinazotumiwa sana na watu wa pwani na visiwani. Ni kama vile visiwani hawasemi "shikamoo" kama tulivyozoea sis watu wa bara. Kwa vile mhusika ni mtu wa visiwani aachiwe asalimie kwa namna alivyozoea. Ni kiswahili cha unguja, tusiwalazimishe watumie cha kwetu. Kama vile ambavyo wanavyotumia maneno kama tungule, mfereji, buku n.k. hili nalo tuwaache waendelee kutumia. Tusiingize udini kwenye hili.

Amandla...
 
Mbona hata huku bara kuna viongozi wanasalimia wabara wenzao kwa hicho "kiswahili cha unguja"?
Asalaam aleikum ni salamu zinazotumiwa sana na watu wa pwani na visiwani. Ni kama vile visiwani hawasemi "shikamoo" kama tulivyozoea sis watu wa bara. Kwa vile mhusika ni mtu wa visiwani aachiwe asalimie kwa namna alivyozoea. Ni kiswahili cha unguja, tusiwalazimishe watumie cha kwetu. Kama vile ambavyo wanavyotumia maneno kama tungule, mfereji, buku n.k. hili nalo tuwaache waendelee kutumia. Tusiingize udini kwenye hili.

Amandla...
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Ni wapi imeandikwa Bwana Yesu alifundisha watu wasalimiane kwa kusema Bwana Yesu asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo....?
 
Kimsingi asalaam aleikum sio salamu ya kiislamu hii ni salamu ya watu wa Masharik ya Kati ikimaanisha kuna amani kumbuka salamu hii ilitumiwa hata na Yesu kristo
 
Tumia akili kufikiri kijana,,,,,Assalaam alaikum huwezi fananisha na salam zingine. Yeye ni muislamu, anajitambua na sio mnafiq wa kuogopa ogopa ,,, so hawezi salimia shikamoo, bwana yesu asifiwe na masalam mengine yasiyona maana, na akaipuuza salam ya Mwenyezi Mungu. Upo hapo?

Salamu ya 'Mnyaazi Mungu' ni ipi?
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Pole sana!
Ukimwangalia bila unafiki uelewa wake uko chini sana! Elimu ndogo! Mbinu yake ya kukaa kimya baadhi inawahadaa na kuamini ana busara, si kweli!
 
A'salaam Alaykum, ni salamu RASMI ya kiislamu iliyofundishwa na Mwenyezi Mungu kupitia kwa Mtume wake Muhammad.... Kikristo salamu RASMI aliyofundisha Mtume wao Yesu ni Amani iwe kwenu/nanyi (japo kwa lugha aliyokuwa akizungumza yeye, kiebrania au kiyahudi)

Hizi nyingine za bwana yesu asifiwe au tumsifu yesu kristo zinawezaje kuitwa kuwa ni salamu kuwasalimia watu? Zimefundishwa na Mtume yupi salamu hizo? Seriously Hivi ukiambiwa msifie fulani inawezaje kuwa hiyo ni salamu kwa watu? Kuwa na akili ni jambo moja ila kutumia akili ni jambo jingine.
Kwani kabla ya Mtume (SAW), Waarabu walikuwa hawasalimiani?
 
Back
Top Bottom