Hapo Sawa. Siyo hao washrki wanaosema eti Ile ya salaam aleikhum ndo ya Mungu!!!!!..unayosema ni kweli.
..lakini wanasiasa wanaotumia "a'salaam aleikum", "asarama-reko," hapa Tz wamewalenga Waislamu.
..Ni vyema tukaachana na salamu za Kidini tukawa na salamu za KITAIFA/KITANZANIA.