Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Kwa sababu ni mbaguzi na mdini!
 
Sasa maana ya bwana asifiwe ni amani iwe nanyi?
hebu nitolee upumbafff wako wa lumumba.. ndezi wewe kwani samia ametamka salam gani ? bwanaasifiwe bwana gani asifiwe wakati ww ulipo hapo huna amani CORONA imekuzunguka afu unachefua sana eti bwana asifiwe labda bwanako umsifie mwenyewe
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Ni ujinga mkubwa kabisa, sijui waliokuja na hizi salamu akili zao zilikuwa kuzimu au....

Kiswahili ni lugha kubwa, inazungumzwa na watu wa imani mbali mbali kwanini watu walazimishwe kusalimiana kiimani? Kuna wazungu, wachina na watu toka mataifa tofauti wanazungumza kiswahili na kusalimiana ni kama utangulizi wa Lugha.

Ni swala la muda tu mpaka hili halijatua Bungeni na kujadiliwa upya na kufutwa kabisa. Hapa Taifa limeikosea sana Lugha ya Kiswahili.

Wangeweka hata ile salamu pendwa ya wazungu "JAMBO, au Habari gani" Ningewaunga mkono sana kama waliona asalam aleykum ina kasoro. Ndugu zanguni hapa tumeikosea Lugha ya Taifa vibaya sanaaaaaaaa...
 
Mbona sijawahi kumsikia Magufuli au kiongozi yeyote wa kitaifa anaanza hotuba kwa kutusalimia Rastafarians?
 
Huu uzi umekaa kidinidini zaidi salamu hazina maana yoyote hata angesema Mambo ingetosha tujikite kwenye mamabo ya maana na ya msingi sio huu ujinga
 
hebu nitolee upumbafff wako wa lumumba.. ndezi wewe kwani samia ametamka salam gani ? bwanaasifiwe bwana gani asifiwe wakati ww ulipo hapo huna amani CORONA imekuzunguka afu unachefua sana eti bwana asifiwe labda bwanako umsifie mwenyewe
Cheki ulivyokuwa kubwa jinga... Umedandia comment za wanaume wenzako bila kujua walichomaanisha fala ww
 
1614168201922.png
 
Waache tu, serikali haina dini.....na wengine wanaharibu tu hata hizo salami zenyewe.

Utasikia mtu mkubwa tu anasema "salamaleko"! Aibu tu.
 
..pia kumezuka mtindo mwingine wa taarifa za serikali kunukuu vitabu vya kidini.

..kwa mfano unaweza kukuta taarifa ya serikali kuhusu kifo, halafu inamalizia kwa maneno toka ktk BIBLIA, "Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe."

..taarifa ya serikali haipaswi kuwa na maneno kama hayo.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Hata mimi kwani sijajua ni bwana yupi huyo lkn ukisema Bwana Yesu ndio najua unamaanisha nini anyway hakulelewa kwenye maadili hayo na sio vibaya na siyo kosa na sio dhambi pia
 
..ni kweli salama za kidini zilianza ktk awamu ya JK.

..lakini mimi sikumbuki kumsikia JK akitumia salamu hizo.

..ukichunguza utakuta wanaotumia salamu hizo ni wale wenye uwezo mdogo wa kuzungumza na kujenga hoja majukwaani.

..kwa maoni yangu, ni vizuri tukatumia salamu zinazotuunganisha waTz wote, au hata tukatumia salamu za vyama vya siasa.
Mkapa alikuwa anasema mambo? Hizi salamu za kidini inabidi Rais ashauriwe! Salam ambazo ukiingia kwa kina sababu zake hazina utukufu kwa muumba wetu.

Nashukuru huu mjadala umeibuka maana huwa nakerwa kweli.
 
Jane Lowassa Kwa mijibu wa taratibu za dini yake ni makosa kwa yeye kutoa salamu ya aina hiyo "Bwana Yesu asifiwe" au tumsifu yesu kristo.
Kwahiyo anasimama kwenye taratibu za dini yake zilivyo.

Huyo Waziri mkuu yeye Usilamu wake una mashaka kwa kweli na so huwezi shangaa chochote anachofanya.

kuhusu Raisi yeye inawezekana kwenye dini yake hilo sio kosa kusema Asalaam Aleiykum.
 
Huu ulimbukeni uko hapa kwetu. "Asalaam aleikhum" ni salamu ambayo hata wakristu tena viongozi wa dini wanaitumia nchi kama sudan ya kusini katika kuwasalimu waumini kabla ya ibada. Tembea uone.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?

Huyo anayo akili kubwa, kwani maana ya Asalam aleykum ni Amani iwe juu yenu, Salamu hii nayo ilipata kutumiwa na yesu alipokutana na wanafunzi wake kwa mara ya kwanza kinyume chake hatuoni mahala popote salamu ya Bwana asifiwe au tumsifu yesu ikitumiwa na Yesu, isitoshe ukisema; Bwana asifiwe, kwani hapo Wakristo huwa wanamsifu huyo Bwana??? Sana sana huwa wanajibu milele amin, sasa kuitikia milele amin ndiyo kumsifu Bwana???.

Assalam aleykum ndiyo salamu mujarabu iliyotumiwa na mababii wote wa Mungu, fuateni mafundisho ya haki.
 
Huu ulimbukeni uko hapa kwetu. "Asalaam aleikhum" ni salamu ambayo hata wakristu tena viongozi wa dini wanaitumia nchi kama sudan ya kusini katika kuwasalimu waumini kabla ya ibada. Tembea uone.

..hoja yako ni nzuri sana na inafundisha wengi.

..lakini kwa hapa Tz "asalaam aleikum" na "asaramareko" ni salama ambazo zinatumiwa na viongozi kulenga Waislamu.

..wanaopinga salamu hiyo wanapendekeza viongozi wetu watumie salamu zinazowaunganisha Watanzania bila kujali imani zao.

..sasa hivi tumefika mahali taarifa za serikali za misiba zinatumia maneno, "Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe."

..ni makosa kwa serikali ambayo haina dini, kutumia salamu za kidini, au kutoa taarifa na kunukuu toka ktk vitabu vya madhehebu ya dini.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Sema wewe!!!!
 
Back
Top Bottom