Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Asalamu alaykum ni salamu na maamkizi kwa maana ni amani iwe juu yenu, haijalishi anayesalimiwa ni muislamu au siyo, lakini tumsifu Yesu Kristo au Bwana Yesu asifiwe siyo maamkizi kwani hata Yesu mwenyewe aliwafundisha wanafunzi wake waseme amani iwe kwenu Mat. 10:12 na Yesu mwenyewe alisema amani iwe kwenu John 20:19-21. Hivyo kuombeana amani kwa anayetaka amani ndiyo salamu na maamkizi bora hususan kwenye jamii ya watu wa imani tofauti.
 
Inajenga picha kwamba haoni mantiki ya kusalimia kwa salamu za dini zote duniani.
Zaidi salamu za kidini hazipaswi kuwepo kwenye Taifa kama letu lenye mchanganyiko wa dini nyingi.
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
 
Salam Aleykum kwa ninavyoelewa ni "Amani iwe nawe/nanyi". Tatizo tumeiunganisha na Uislamu (wakati ni maneno ya Kiarabu), ni salamu ya kawaida kabisa ambayoo hata Yesu aliitumia. Akishaitamka hivyo nadhani inatosha, mengine ni mbwembwe na duplication tu.
 
Kwa nini haitamkwi kiswahili, kisukuma au kinyaturu?
Kutawaliwa. Bado tunatumia lugha za waliotutawala kwenye maneno mengi tu.

Hio Asalam alaykm imezoeleka mpaka watu wanaona kama ni kiswahili tu. Ingawa ndio watu wengine pia wanaona kama maamkizi ya kiislam.

Kwani shikamoo/marahaba na cheichei ni kiswahili au.????
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Kwani LAZIMA ACHA UKUKU

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
A'salaam Alaykum, ni salamu RASMI ya kiislamu iliyofundishwa na Mwenyezi Mungu kupitia kwa Mtume wake Muhammad.... Kikristo salamu RASMI aliyofundisha Mtume wao Yesu ni Amani iwe kwenu/nanyi (japo kwa lugha aliyokuwa akizungumza yeye, kiebrania au kiyahudi)

Hizi nyingine za bwana yesu asifiwe au tumsifu yesu kristo zinawezaje kuitwa kuwa ni salamu kuwasalimia watu? Zimefundishwa na Mtume yupi salamu hizo? Seriously Hivi ukiambiwa msifie fulani inawezaje kuwa hiyo ni salamu kwa watu? Kuwa na akili ni jambo moja ila kutumia akili ni jambo jingine.
 
Kutawaliwa. Bado tunatumia lugha za waliotutawala kwenye maneno mengi tu.

Hio Asalam alaykm imezoeleka mpaka watu wanaona kama ni kiswahili tu. Ingawa ndio watu wengine pia wanaona kama maamkizi ya kiislam.

Kwani shikamoo/marahaba na cheichei ni kiswahili au.????
 
Inajenga picha kwamba sio mnafiq.

Huyo mama kwanza sio muongo muongo maana kama mnakumbuka alivyosema kipindi kile cha kampeni kwamba hata mkimpgia kura mgombea mwingine lakini wa CCM ndio atakayeshinda. Kwani aliongopa?
Kwahiyo unawadhalau wakristo wanaotumia hizo salaam?? Inamaana wakristo wanao salimia kiislam kwenye halaiki ya uma unawaona hawana akili?? Ila unawatetea wanaotumia salamu moja ya kiima na huku halaiki ni ya wanadini zote? Kama nikweli anatumia salamu moja ni vyema na yeye atumie salamu zote au kama anaona hawezi basi asisalimie kwa imani ya dini yoyote.
 
Jibu zuri sana hilo kwa huyo mdogo wake na @ Fayza Foxy
Msimpe sifa asiyo stahiki. FaizaFoxy na mapungufu yake yote huwa habishi ili mradi anabisha. Hutoa facts. Ila hiki ki CCM wanna be huwa kinatoaga majibu kama uharo, bila kufirkiri wala kuwaza. Yani kanabwatuka tu.
Sasa kweli kabisa mtu na akili zake timamu anaweza hoji kwanini muislamu hatoi salamu ya kikristo.
Huu uzi uwe ndio hitimisho kwa wote kuwa huyu binti (yaweza kuwa ni kivulana pia) huwa hajui asemalo siku zote.
 
Si M'BAGUZI tu, bali ni M'DINI pia!
Anaona akitoa hizo salamu ambazo wengi wa kutoka Dini yake, wanaona ni salamu zetu sisi watuitao MAKAFIRI, atakuwa AMETUINUA JUUUUU!
Inajenga picha kwamba haoni mantiki ya kusalimia kwa salamu za dini zote duniani.
Zaidi salamu za kidini hazipaswi kuwepo kwenye Taifa kama letu lenye mchanganyiko wa dini nyingi.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hiyo ndiyo salami ya imani yake. Nawe, au hao wengine uliowatolea mifano muwe mnasalimia kwa kadri mnavyopenda. Sio lesi
 
Back
Top Bottom