Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Dah ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa,Leo hii ccm wameanza kukosoana wenyewe kwa wenyewe?, kweli karma is a bitch.
 
Kwani akisema wewe unapata faida gani..na asiposema unapungukiwa Nini...then...mind your business
.
 
Amani iwe nawe/nanyi ni kiislamu?

..kwa hapa Tanzania "asalam aleikum" na "asa-ramareko" ni salamu za ndugu zetu Waislamu.

..Watanzania tunazo salamu zetu ambazo zinatuunganisha wote bila kujali dini, kabila, rangi au jinsia.

..Mfano wa salamu hizo ni, " Tanzania Oye. "
 
Muislamu hajawahi kuwa mnafiki kuhusu imani yake, atatenda dhambi yoyote lakini lakini atapigania la Mungu wake, nà muislamu akiamini ameamini kweli kweli. Ndio maana waislamu hupigania kuwa na maeneo ya kufanyia ibada kila mahali, vyuoni, viwanja vya ndege, na hospitali na ibada zao zinafanana.
Wakristo kwa asiri ni wanafiki, baada ya mitume kufa wamejiundia makampuni ya kidini(madhehebu), wanawaza kupiga ela, hawana ibada moja hawaelewani. Wachungaji wenyewe wanahuburi wasichokiamini. Kwa ufupi mkristo hayuko tayari kupigania jina la Mungu wake, ndiyo maana yuko tayari kutaja jina Mungu yeyote bila kujali.
In short ili uwe mkristo mzuri lazima uwe mnafiki kwa jina la Mungu wako na kwa Mungu wako mwenyewe.
😁
 
Hizi salaam double-double zilianzishwa na rais Magufuli; mtu ambaye kwa dhahiri hajui wala hana idea ya Uislamu (hata kifikra na Kifalsafa tu, si imani) na anayejulikana kupenda kufanya mambo ya kukurupuka. Sina hakika kama anaujua pia Ukristo, zaidi ya kuuamini kwa vile amezaliwa Mkristo.
Wakati Assalaamu Alykum ni maamkuzi ambayo si lazima yanasibishwe na dini (Amani iwe juu yenu), 'Tumsifu Bwana' ni aina ya ibada. Wakristo wa Mashariki ya Kati (Waarabu na wengineo) pia wanasalimiana Assalaamu Alaykum.
Kama angetaka kweli kuabudu kwa dini hizi mbili, angesema 'Swalli alaa Muhammad' Yaani " Tumwombee rehema Muhammad'. Hiyo ingekuwa sawa na ile yake ya 'Tumsifu Bwana'.
Mama Samia analijua hilo. Yeye hasalimii kiibada ibada, bali anatoa salaamu za kawaida tu, kwa sababu "Amani ishuke juu yenu' kama ingesemwa kwa Kiswahili isingemwelezea anayeitoa ni wa dini gani!

Mtoa mada umefanya vizuri kuliuliza hili, ila nakukashifu kwa vile katika maulizo yako tayari unaonesha umekwishafikia 'uamuzi' kuwa mama Samia apinga Ukristo! Ujinga ni kitu kibaya sana.
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
jina la Yesu ni balaaa ukilitaja vibaya unaungua sasa kwanini apate hayo mateso
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Hao wengine ni wanafiq
 
Mind you, I hold a Masters degree
Master degree in music and dancing [emoji33][emoji28][emoji32][emoji4][emoji851][emoji1787][emoji7][emoji23][emoji106][emoji33][emoji33][emoji33][emoji32][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41][emoji1787][emoji7][emoji23]
 
Wakuu, heshima kwenu!

Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk

Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.

Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.

Hii inajenga picha gani, wakuu?
Epuka mikusanyiko, vaa barakoa, Nawa mikono kwa maji tiririka.
Piga nyungu, jivukize.

Jikinge wakinge uwapendao
 
Huu upuuzi wakutoa salam kibao ni kukosa elimu tu.
Hii salam ASALAAM ALAHYKUM (AMANI YA MWENYEZI MUNGU IWE JUU YAKO)
wala siyo ya muislam peke yake hii ni lughatu, ila kwa kukosa elimu juu ya hiyo lugha basi watu wengi hudhani ni salam hii huwa ya waislam Peke yao.
Kipindi cha Mwinyi, Marehem Mkapa sikiliza hotuba zao utagundua kuwa jamaa walikitendea haki kiswahili.
 
Haya nyamazeni wote. kesho simba sc baba lao anacheza na mwarabu wa ITITI
 
Back
Top Bottom