Kwa hiyo hiyo Yohana Mt 7 uliyoiweka hapo ndio inasema kuwa Yesu ni mtume?Tatizo umebebewa dini....
YOHANA MT. 7
16 Hapo Yesu akawajibu, “Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma. 17 Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe. 18 Yeye anayejisemea tu mwenyewe anatafuta sifa yake mwenyewe; lakini anayetafuta sifa ya yule aliyemtuma, huyo ni mwaminifu, na ndani yake hamna uovu wowote.
Kwa staili hii Mtapata tabu sana.