Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.
Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!
Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.
Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).
Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
China wala Korea hazikua nchi tajiri.
Well said but kiekweli bongo bado sana cause am in this industry.
Not so easy.Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.
Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!
Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.
Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).
Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
wapi ambako ni matajiriKuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.
Personally am not an IT but i love this profession. Nchi kama bongo ipo nyuma sana lakini yenye matamanio makubwa yakufahamu teknolojia then whats pulling us back.?!
Mi ishu nimeona kwenye management ya hawa talented stars pia na wengi wao kuto fahamu marketing and advertisement.
Costech wanafeli na hubs zingine the push is not that hard. Hebu tuimarishe huu mfumo vijana wapige hela. Mifumo user friendly ambayo kila mwananchi hata mwenye elimu ndogo ya teknolojia anaweza master. Kwa research nliyofanya tech is not that expensive nkimaanisha kuna softwares, systems and tools zinawwza patikana in a cheaper way ughaibuni kwa njia tofauti(kijanja).
Na madini yote haya tufungue cyber mall moja kubwa sana, wajae wabongo humo, wachina na warusi wa kutosha. [HASHTAG]#YouthWeCan[/HASHTAG]
We mwenyewe si ndo IT holder? Tupe kikwazo ninini?Bado sana mkuu Tanzania
mimi sio IT holder ila nikiona jinsi hao IT wanavyoishi na serikali yetu hii..bado aseehWe mwenyewe si ndo IT holder? Tupe kikwazo ninini?
IT wengi wanasubiri waajiriwe wakati elimu yao haitaji experience wala ma GPA makubwa kama wanavyozani watu wengi.Kuna fursa kubwa sana yani pesa mingi ya duniani ipo katika sekta ya teknolojia. Fursa inazidi kukua kila siku but why jamaa zetu bongo hapa hawana mpunga yani kuunga unga kwingi.