japo simuungi mkono lowasa kuwa raisi mwaka 2015,, lakin niliwahi kumsikia akikemea rushwa alipohojiwa na DW Radio,,
Well answered mkuu muelewa ameelewa. Ujasiri mwingine wa Lowassa ni kuwatimua Net group ya SA, kulsambaza maji ya ziwa victoria na ujenzi wa shule za kata kwa kutaja chache. Fuatilia kuanzia Lowassa alipojiuzulu kwa kuundiwa njama za richmond serikali ya JK iliparalais hadi sasa inaishia na kashfa kubwakubwa.
Lowassa alipinga matokeo ya kushindwa kwa Kikwete....tafuta magazeti ya siku moja baada ya Kizota nomination....ni waziri yupi aliyekaa chini ukumbini akilia kwa uchungu kupinga kushindwa kwa Kikwete.... Hiyo ilitosha kwa Serikali mpya kumuweka pembeni.
Rejea speech ya Mheshimiwa Mwinyi baada tu ya Mkapa kupitishwa na Mkutano Mkuu...alimshukuru Mwalimu, alimpongeza Mkapa na kumuomba ktk awamu yake asiwaache Jakaya na Edward, akikiri ni vijana hodari, wachapakazi na waaminifu ambao watamsaidia ktk kuendesha nchi.
Ninaamini unakumbuka siku alipowaamuru wana Dar kujitwalia mabati yaloizunguka Mnazi mmoja...kwa mdomo wake na ukali alisema watu wa jiji wamekula rushwa na kuuza eneo la wazi....akasema yeye anaruhusu uzio uvunjwe na anayeona kaonewa atangulie mahakamani.
Haya yatakutosha kama una umri wa miaka 30 tu tangu umezaliwa
Uongoz ni gulio
Duh! Mleta mada ni sheeeeeedah! Watu watasusia jukwaa.
Wanaomtetea Lowasa katika utumishi uliotukuka na kwamba apewe urais lazima wanauzezeta na utaahira si wazima hata kidogo.
Wewe lete HOTUBA yake Lowassa aliyokuomba kama unayo. Kama huna kaa kimya.
Hii ya shule za kata, ifungulie thread yake. BTW, naona hapa matokeo ya Secondary, form 4 mwaka 2013 ni mazuri mno.
![]()
Lowasa ni rais anaesubiri kuapishwa october
Nachelea kusema watu tunatumiwa vibaya, hv rushwa imetamalaki kila kona, hv kukemea rushwa bla vitendo kunasaidia? wangapi wamekemea ufisadi cjui malecela ane n.k lakima vitendo hamna. anakemea rushwa anakula rushwa. hvyo basi mleta mada huna nia ya dhati kwa hili bali sema una kambi fulani tu na hapa unamtumikia bosi ako......
Lowassa hajawahi kuwa msafi, halafu mbaya zaidi anajilinganisha na EDWARD MORINGE SOKOINEKwa nn mnakimbilia kuwa lowassa anachafuliwa, mkemea rushwa kwa vitendo lazima ataongea hilo sehemu flani. Sasa tuambieni wapi amekemea Rushwa na ufisadi ???
Simply tafuteni leteni.
Au kumuomba kipofu akusomee sms!