Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

:bump:SISI JE, TUTAPATAJE KUPONA TUSIPOUJALI WOKOVU MKUU NAMNA HII??:flame:
 
I AM PROUD TO BE MBULULA:cool2:
Kwa akili yako wewe unaona kupambana na ufisadi ni kuongea sio. Kweli wewe mbulula. Nenda Rwanda ufikiri utasikia hayo mambo bungen. Vita ya rushwa nivitendo zaid sio maneno kisha kimya inatusaidia nini sasa. Wewe ungekuwa muungwana ungesema cjawahi kuisikia CCM ikijal maslahi ya wananchi wa nchi hii ungeeleweka. Hv unafikir kuna ufisadi wa kutisha unaoweza kuuzungumzia ndan ya nchi hii kama hiki kitendo cha CCM kuchakachua rasimu ya Warioba kweli. Naona kila anaekuja hapa oo lowassa cjui Lowassa hv kwa akili yako maisha yote ya nchi hii ni magum coz ya Lowassa? Achen ungese bana kwenye mambo ya msingi usilete ushabiki. mimi ndan ya CCM namkubali zaidi Magufuli anafuatiwa na Lowassa halafu Mwakyembe japo kwa kiasi kikubwa nimeumizwa na kukaa kwao kimya pale Sitta na Chenge walivyoamua kuiuza nchi. tubadilike jaman nch ndio inaangamia usidanganyike na watu wanakwambia eti mimi sio fisadi. Nani alikuwa hamjui Kikwete. Kaingia ikulu mweupe yeye na familia yake sasa hiv ni bilionea na mwanae ndio usiseme.
 
Naona Lowassa kawakamata vibaya mpaka kila siku mkiamka mnamwaza tu!!
Lowassa our URT president 2015/2025!!Hata Membe analijua hili!!
 
Wanaomtetea Lowasa katika utumishi uliotukuka na kwamba apewe urais lazima wanauzezeta na utaahira si wazima hata kidogo.
 
Rafiki yangu sikujui unatetea nini na unapinga nini? Nadhani hujui Lowassa ni nani katika siasa za Kibongo, nikuulize ile kampuni gani inatengeneza kadi za simu za kampuni letu la mafisadi? Ukitaka kumaliza kazi si unakata kichwa? Lowassa = Ufisadi. Unachekesha tena kusema jamaa aliingia mweupe, kwa ni sasa mweusi? Hujui wanasiasa, jiulize kwa nini Zengwe la ESCROW linamshinda? Na kama bunge, unajua kiingereza ni Parliament na kundi la bundi linaitwa parliament kwa hiyo hilo la kwenu limejaa bundi wengi kazi yao kulia na kushangilia.

Nafikir hujanielewa ndgu. Nachosema ni hv nchi hii imefika hapa c kwasababu ya Lowassa. nchi hii imefikishwa hapa na CCM. So msipende kucmama hapa kila mtu na kundi lake la mgombea urais na kutuaminisha eti matatizo yote ya nchi hii kaysababishi Lowassa. Tatizo kubwa la nchi hii ni CCM full stop.
 
NAWAOOMBENI MCHIMBUE KILA MAHARA MTAFUTE SPEECH YA AUDIO AU VIDEO IKIONYESHA LOWASA ANAKEMEA RUSHWA...

MKIONA HAZIPATIKANI TAFUTENI GAZETI LOLOTE AMBALO LINAONYESHA HEADING AU UKURASA UNAOONYESHA LOWASA KAKEMEA RUSHWA...

Mkiwa katika kutafuta hilo mjipange kujibu kwa nini mkapa hakumchagua lowasa kwenye baraza lake la mawaziri aliloliunga mwaka 1995 lowasa akaja kuchaguliwa miaka miwili mbele........
 
japo simuungi mkono lowasa kuwa raisi mwaka 2015,, lakin niliwahi kumsikia akikemea rushwa alipohojiwa na DW Radio,,
 
Lowassa alipinga matokeo ya kushindwa kwa Kikwete....tafuta magazeti ya siku moja baada ya Kizota nomination....ni waziri yupi aliyekaa chini ukumbini akilia kwa uchungu kupinga kushindwa kwa Kikwete.... Hiyo ilitosha kwa Serikali mpya kumuweka pembeni.

Rejea speech ya Mheshimiwa Mwinyi baada tu ya Mkapa kupitishwa na Mkutano Mkuu...alimshukuru Mwalimu, alimpongeza Mkapa na kumuomba ktk awamu yake asiwaache Jakaya na Edward, akikiri ni vijana hodari, wachapakazi na waaminifu ambao watamsaidia ktk kuendesha nchi.

Ninaamini unakumbuka siku alipowaamuru wana Dar kujitwalia mabati yaloizunguka Mnazi mmoja...kwa mdomo wake na ukali alisema watu wa jiji wamekula rushwa na kuuza eneo la wazi....akasema yeye anaruhusu uzio uvunjwe na anayeona kaonewa atangulie mahakamani.

Haya yatakutosha kama una umri wa miaka 30 tu tangu umezaliwa
 
Hana ujasiri huooo
 
Well answered mkuu muelewa ameelewa. Ujasiri mwingine wa Lowassa ni kuwatimua Net group ya SA, kulsambaza maji ya ziwa victoria na ujenzi wa shule za kata kwa kutaja chache. Fuatilia kuanzia Lowassa alipojiuzulu kwa kuundiwa njama za richmond serikali ya JK iliparalais hadi sasa inaishia na kashfa kubwakubwa.
Lowassa alipinga matokeo ya kushindwa kwa Kikwete....tafuta magazeti ya siku moja baada ya Kizota nomination....ni waziri yupi aliyekaa chini ukumbini akilia kwa uchungu kupinga kushindwa kwa Kikwete.... Hiyo ilitosha kwa Serikali mpya kumuweka pembeni.

Rejea speech ya Mheshimiwa Mwinyi baada tu ya Mkapa kupitishwa na Mkutano Mkuu...alimshukuru Mwalimu, alimpongeza Mkapa na kumuomba ktk awamu yake asiwaache Jakaya na Edward, akikiri ni vijana hodari, wachapakazi na waaminifu ambao watamsaidia ktk kuendesha nchi.

Ninaamini unakumbuka siku alipowaamuru wana Dar kujitwalia mabati yaloizunguka Mnazi mmoja...kwa mdomo wake na ukali alisema watu wa jiji wamekula rushwa na kuuza eneo la wazi....akasema yeye anaruhusu uzio uvunjwe na anayeona kaonewa atangulie mahakamani.

Haya yatakutosha kama una umri wa miaka 30 tu tangu umezaliwa
 
Lowassa Nimashine ya kaz,huwez mlinganisha lowasa na hao wauza shanga wengine hats siku moja
 
NAWAOOMBENI MCHIMBUE KILA MAHARA MTAFUTE SPEECH YA AUDIO AU VIDEO IKIONYESHA LOWASA ANAKEMEA RUSHWA...

MKIONA HAZIPATIKANI TAFUTENI GAZETI LOLOTE AMBALO LINAONYESHA HEADING AU UKURASA UNAOONYESHA LOWASA KAKEMEA RUSHWA...

Mkiwa katika kutafuta hilo mjipange kujibu kwa nini mkapa hakumchagua lowasa kwenye baraza lake la mawaziri aliloliunga mwaka 1995 lowasa akaja kuchaguliwa miaka miwili mbele........

jamaa hajawahi..ila nani tumpe urais au tumpe nyarandu/nchemba a.k.a singida boys
 
Duh! Mleta mada ni sheeeeeedah! Watu watasusia jukwaa.
 
Back
Top Bottom